Hii Vita bado sana tunayo lkn tayari tumeanza kulipia Vita mafuta bei juu 1100 yani tsh3800 kwa lita.Na hapo Iran inatumia "Corps" tu yaani IRGC, bado haijaingiza Jeshi rasmi la nchi.
Irani ina majeshi mawili, lile la kulinda mapinduzi yaani IRGC na lile rasmi la Taifa.
Kwani yeye ndo kafungaUyo Trump tungeweza tungempeleka yeye akafungue Hormuz mana kazingua sana.
Kwani yeye ndo kafunga
Mnatumia Nini
Iran imeamua wote waumie
Kuufunga mlango bahari wa Hormuz ni kwa ajili ya kujilinda Iran dhidi ya meli vita za adui na pengine adui kutumia hio njia kuingiza vikosi na silaha... Hivyo Iran inatekeleza jambo muhimu kwa usalama wake.Kwani yeye ndo kafunga
Mnatumia Nini
Iran imeamua wote waumie
Tumia basi akili mkuu acha USHABIKI wa kipuuziKuufunga mlango bahari wa Hormuz ni kwa ajili ya kujilinda Iran dhidi ya meli vita za adui na pengine adui kutumia hio njia kuingiza vikosi na silaha... Hivyo Iran inatekeleza jambo muhimu kwa usalama wake.
Hizo ndoto zako Bado sanaUtawala wa USA kuitawala dunia upo ukingoni,naona mipango yote ni kama inagoma.Sehemu pekee ambapo bado ana nguvu kiasi ni America Kasikazini.
1.Huko Amerika ya kusini Brazil,ambalo ndio Taifa kubwa limekuwa kizingiti;
2 Huko Asia-China amemkamata
3.Ulaya-Russia amedinda
4.Mashariki ya kati-Iran amegoma
Atawezaje kuendelea kuwa super power pasipo kuwa na control ya hizo pande za Dunia?-kubali au kataa but hizi ni dalili za anguko la USA
Meli zinazopita hapo ni zinazobeba mafuta ya saud arabia,Bahrain, Kuwait,Qatar na hizo nchi ndio zinazotumiwa na USA kuishambulia Irani,sasa ww unataka Iran awape tena maadui zake faida au sio??Tumia basi akili mkuu acha USHABIKI wa kipuuzi
Kwani mashmbulizi mengi yanatokea baharini ??
Kushambulia meli za kiraia kunasaidiaje kuzuia adui ?
Kwani angeamua kuzikagua akaziruhusu kungeleta athari gani
Akaamua kuumiza makumi ya nchi Kwa failure yake
Kwenda kukagua meli unafahamu procedures zake na taratibu, au unafikiri hizo meli ni kama Toyo ya mizigo inavyokaguliwa na traffic ?Tumia basi akili mkuu acha USHABIKI wa kipuuzi
Kwani mashmbulizi mengi yanatokea baharini ??
Kushambulia meli za kiraia kunasaidiaje kuzuia adui ?
Kwani angeamua kuzikagua akaziruhusu kungeleta athari gani
Akaamua kuumiza makumi ya nchi Kwa failure yake
China hadi sasa nina uhakika imegundua kumbe kuikamata Taiwan ni jambo linalo wezekana.Utawala wa USA kuitawala dunia upo ukingoni,naona mipango yote ni kama inagoma.Sehemu pekee ambapo bado ana nguvu kiasi ni America Kasikazini.
1.Huko Amerika ya kusini Brazil,ambalo ndio Taifa kubwa limekuwa kizingiti;
2 Huko Asia-China amemkamata
3.Ulaya-Russia amedinda
4.Mashariki ya kati-Iran amegoma
Atawezaje kuendelea kuwa super power pasipo kuwa na control ya hizo pande za Dunia?-kubali au kataa but hizi ni dalili za anguko la USA
Mfumo upi labda,kitu pekee ambacho bado kinampa kiburi ni mataifa ulimwenguni kununua vitu kwa hela yake ya USA-kitu ambacho hizo nchi hapo juu zina ki challenge kwa sasa.Ni bidhaa au huduma gani ambayo USA anauza ipo so demanded ambayo mchina/Russia hawezi ku supply??Hizo ndoto zako Bado sana
Us Bado ana mifumo mikubwa