Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel inashambulia kwa makombora eneo la Tehransar
 
Kwa fikra zako waarabu wanavyoona mifumo ya Marekani haifui dafu wao ndiyo wapigane?

Wakubali waaribu nchi zao kwa namna walivyozijenga kisa Marekani na Israel?
Most zimekuwa intercepted...hakuna mfumo unaintercept missiles 100% na ndiyo maana hakujawa na major escalations...mbona Iran kuna mifumo na target zimepigwa kama kawa?
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Video footage: Israel inashambulia muda huu eneo la Tehransar
 

Attachments

  • 2026-02-28_19-42-27_0.mp4
    6.5 MB
Iran kuifuta Israel ni baada ya Israel kuleta chokochoko za kijinga middle east zilizopelekea vifo vya maelfu ya watu wakiwemo watoto...

Iran siku zote inachokozwa, huoni hilo?
 
Iran imejitahidi kujitetea japo inaweza isitoboe ila angalau itakufa kiume. Wanasema hii ni makombora machovu ya kizamani stock za kijanja ziko nyingi. Na wanapigana kana kwamba vita hii itachukua miaka kadhaa hivyo wanaenda kwa bajeti ila ikibidi watatumia kila walichonacho.

Ngoja tuone.
 
Kama top commanders wa vita wanauliwa utasema hiyo nchi Ina ulinzi ?

Leo tu top commander mmoja na waziri wa ulinzi wameshatangulizwa Kwa Allah wakasugue visimi vya mabikra 72 unasema Kuna ulinzi hapo.


Iran kazungukwa na maadui everywhere
UNAROPOKA TU.
Kwahiyo makamanda wa Iran nao kuuawa ni ajabu!?
Kambi za Marekani za mashariki ya kati zote ni Disfunctional hazifanyi kazi.
Wewe kaa ROPOKA HAPO.
 
Ayatollah na apigwe tu. Kaua maelfu ya Wairan hii majuzi tu.

*** him. And *** Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…