Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Sio kila comment lazima ujibu. Inajifedhehesha kwa kuonyesha upo mweupe sana kichwani
 
Mbona
Mbona huyu askari ana boxer tu, walikuwa wanafanyana nini hawa kenge, kizazi cha sodoma na gomora?
 





Smoke from the 6:15 PM attack near Shahr-e Farsh, Imam Khomeini Street, #Isfahan, Wednesday, April 1.
 

Around 5:05 PM the upper floors of Bank Pasargad in this building in Ajudaniyeh, #Tehran were targeted.
 
JUST IN:🇺🇸❌🇮🇷

IRGC releases first footage of Iranian strikes on USS Abraham Lincoln in the Gulf Of Oman, reports massive losses after Iranian missiles strikes.
Nina uhakika mashambulizi kwenye hio manowari ilikuwa ni warning kwamba hizo manowari si salama na zinafikika na kupigika.

Kwa ukubwa wa vichwa vya makombora ya Iran, hio manowari ingezamishwa na mamia ya askari wangeishia hapo.

Iran anapigana hii vita kutafuta support na kuichafua US na Israel kitu ambacho hadi sasa wamefanikiwa.

Iran wanaionyesha dunia wao si kama wanavyo zungumziwa na Netanyahu na genge lake la mauaji.
 
Your browser is not able to display this video.

A close view shows the attack on the government headquarters in Baharestan, Isfahan, and the large explosion that followed, which occurred on Wednesday, April 1.
 
duh jamaa sijui wanatumia silaha gani hizi kwa kweli jamaa wanatisha sana nimeona video ya shambulizi la leo huko isfahan ila Mmarekani achana naye kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…