Kama Mojtaba, ni hatari kuliko hata Khamenei, Khamenei angekuwepo angeshaingia mazungumzo ili kulinda raia wake.
Trump akikaa peke yake anajiona mjinga.
Niliandika hivi kwenye thread moja tarehe 6/3 kuhusu hilo:
Kumuua Ali Khamenei ilikuwa a strategic mistake.
Kwa kumchagua Mojtaba Khamenei kama Supreme Leader, hawakuimaliza legacy ya Khamenei wameifanya iwe renewed.
Kwa namna fulani, unaweza kusema kwamba Khamenei amekuwa βyoungerβ.
The same ideology, the same resolve, lakini sasa inabebwa na kiongozi mpya na generation mpya.
Kumuondoa kiongozi mmoja does not end the system, mara nyingi huleta mwingine mahali pake mara nyingi akiwa younger, more hardened, na equally determined.
Khamenei mdogo ameshiriki vita miaka ya 80 akiwa teenager kama baba yake na ana misimamo mikali zaidi
Hao makamanda wanaongoza vita sasa hivi wengi walikuwa askari na maafisa wadogo wakati wa Iran vs Iraq war miaka ya 80s na walikuwa naye bega kwa bega
Imani kwamba kumuua kiongozi kunaweza kumaliza movement ni misreading of history.
Historia inaonyesha wazi kwamba movements hazifi pamoja na individuals. Mf Taliban
Kwa maneno mengine ideas na institutions huwa na maisha marefu kuliko watu binafsi
Bila complete overhaul ya siasa za Iran hiyo vita haitaisha leo