Mnadanganyana sana huko kwenye Madrasa mbwa nyie!!Bora umweleze ukweli huyo Goyim kama wanavyoitwa ajielewe
Anaendekeza mipasho tu angekuwa huko na yeye angelala kwenye culverts wakati hao weupe wanajificha kwenye bunkers
Iran 90% ni dhehebu la Shia ambalo linaamini chini ya Khalifa Ally ambaye ni baba wa Hussain.Wakuu samahani kwa nini waIran wengi wanajiita "We are the nation of Imam Hussain" nimeona sana hii wakiitumia pia wakiunganisha "We are the nation of Martyrdom" kuna uhusiano wowote ?
Anayejua lolote kuhusu hizi sentensi mbili nilizoweka hapa anaweza share maarifa yake tafadhali
-IRGC kazi yao kuu ni kulinda serikali ya mapinduzi ya tangu mwaka 1979 ndio maana wanaitwa revolutionary guards.Niongeze maarifa tofauti ya majeshi haya, na utendaji kazi(majukumu yao)
I cant stoop so low to insult my intelligence by arguing with a nincompoop!Mnadanganyana sana huko kwenye Madrasa mbwa nyie!!
Kukaa kwako Israel miaka 2 ndiyo iwe sababu ya wewe kuja kudanganya watu hapa?Mimi siyo muislam kaka, ni mkristo, na nimekaa Israel kwa miaka 2.
Ungeijua hiyo nchi usingeleta UHARO wako hapo huijui Israel na hujafika umejazwa tu chuki na waarabu na wewe kwa sababu ni Mwarabu-koko umeibuka nao bila kufikiria!!Najua jinsi nchi ile ilivyo,
Umejawa na ujinga na upumbavu kichwani mwako kwa kudai kuwa hudanganywi na mtu!! Unajifanya unaijua Israel kuliko Wayahudi wenyewe ambao ndiyo wanaiunga mkono serikali yao na wanaunga mkono Jeshi lao kupigana na Iran.sidanganywi na mtu, sipo Israel kwa sasa lakini nina marafiki wengi waki-jews,
Kwa hiyo hiyo misimamo ya rafiki zako kumpinga Netanyahu hiyo ndiyo umesimamia? Ndiyo maana nimekuambia huijui Israel na hujakaa huku hata siku moja wewe unaongozwa na mihemko ya kidini na chuki zako dhidi ya wayahudi. Huna ulijualo kuhusu Israel unaendeshwa tu na chuki binafsi.rafiki zangu wote wana misimamo inayopingana na Netanyahu na wale wachache ambao ni Orthodox jews ambao wanafuata Halakha (Msimamo wenye mrengo mkali wa kulia, na si wengi kwa namba yao) wengi wao wanampinga Netanyahu
Hizo takwimu wewe umezipata wapi? Kwa akili yako unafikiri Israel inaongozwa na Opinion Polls?asilimia 46 tu ya waisrael wote wanaona hivi vita vina faida kwa nchi, hawa ni kutoka asilimia 67 mwezi mmoja uliopita.
Tatizo lako una mihemko ya kijinga na kipumbavu Israel hajawahi kutokea waziri mkuu anayeheshimika na atakayekumbukwa hata akitoka ofisini leo kama Mwamba waziri mkuu Benjamini Netanyahu. Waarabu na magaidi wote lazima wanamchuk8a sana miongoni mwao ni wewe Mmatumbi kitu ambacho hata ukimchukia huongezi wala hupunguzi chochote kile!!Wewe unajua huyu Netanyahu amesababisha Israel kuwa ya nchi ovyo kuliko ilivyokuwa?
HakikaMtu mdini, ni mpungufu wa akili.
Iran itakuwa imejitangaza rasmi kwamba ni super power na Dunia itaanza kuichukulia Iran kama mshirika wanaye paswa kushirikiana nae huku wakiwa wana muheshimu Iran watauza sana ujuzi wao wa technology na mafuta Yao Iran Atasababisha mataifa mengine yaanze kumtazama USA kuwa ni Taifa la kawaida tu halina ubavu wowote pindi wanapofika kwenye battlefield, USA watazidi kupoteza ushawishi wao kwenye medani za siasa za kimataifa itakuwa ni ngumu Tena Kwa USA kuweza kuwavimbia watu na kutaka kuwapelekesha kama watoto wadogoKama wanajf, ikitokea US na Israel wakaondoka bila kutimiza malengo Yao kama walivyokusudia je Nini kitatokea hapo Mashariki ya kati?
Wewe mlokole mavi, hiyo fuvu inanuka maviKukaa kwako Israel miaka 2 ndiyo iwe sababu ya wewe kuja kudanganya watu hapa?
Hizo chuki zako ulizopandikiziwa na waarabu wewe zinakusaidia nini?
Ungeijua hiyo nchi usingeleta UHARO wako hapo huijui Israel na hujafika umejazwa tu chuki na waarabu na wewe kwa sababu ni Mwarabu-koko umeibuka nao bila kufikiria!!
Umejawa na ujinga na upumbavu kichwani mwako kwa kudai kuwa hudanganywi na mtu!! Unajifanya unaijua Israel kuliko Wayahudi wenyewe ambao ndiyo wanaiunga mkono serikali yao na wanaunga mkono Jeshi lao kupigana na Iran.
Wewe Mmatumbi mwenzangu umekomaa kuijua Israel kuliko wayahudi wenyewe.
Hujui kuwa Israel ni nchi ya ki demokrasia kila kitu unachokiona kinaendelea ujue kina baraka za wananchi wake. Wewe kwa kuwa ni ** Bumunda** huyajui hao umeng'ang'ana tu eti ** hudanganywi** na mtu kuhusu Israel. ** Who are you??** mjinga wewe?
Kwa hiyo hiyo misimamo ya rafiki zako kumpinga Netanyahu hiyo ndiyo umesimamia? Ndiyo maana nimekuambia huijui Israel na hujakaa huku hata siku moja wewe unaongozwa na mihemko ya kidini na chuki zako dhidi ya wayahudi. Huna ulijualo kuhusu Israel unaendeshwa tu na chuki binafsi.
Hizo takwimu wewe umezipata wapi? Kwa akili yako unafikiri Israel inaongozwa na Opinion Polls?
Hilo Knesset linafanya kazi gani? Acha ujinga kupotosha watu Israel haiongozwi na Opinion polls!!
Tatizo lako una mihemko ya kijinga na kipumbavu Israel hajawahi kutokea waziri mkuu anayeheshimika na atakayekumbukwa hata akitoka ofisini leo kama Mwamba waziri mkuu Benjamini Netanyahu. Waarabu na magaidi wote lazima wanamchuk8a sana miongoni mwao ni wewe Mmatumbi kitu ambacho hata ukimchukia huongezi wala hupunguzi chochote kile!!
Hawawezi kusema hao 😁😁Sababu hazijawekwa wazi kwa majenerali kutolewa wakati jeshi likiwa bado lipo vitani ?
😄wale jamaa wa iran inaenda kupatiwa demokrasi wamekua kimya sana wiki za hivi karibuni
So Hilo gazeti Lina danganya!?Mnadanganyana sana huko kwenye Madrasa mbwa nyie!!
Yan wew unajifanya unalijua hilo daraja kuliko waliolitungua asee patheticWe kweli akili huna,yani daraja ambalo bado lipo kwenye ujenzi na wala halijaanza kutumika ndio unasema silaha nyingi zinapita hapo.
Tatizo wanaleta imani zakidini wakati marekani na Israel hawajawai kupigana kisa dini wao ni masilahi yao tuMkuu unajichosha tu kuwaelimisha hao waliokimbia shule. Hapo hakuna wanachoelewa zaidi ya ubishani wa kishamba.
Jeshi huwa halioperate kwa kutegemea route moja.Hilo daraja limepigwa kimkakati mkuu ndo linaunganisha Tehran na mji wakijeshi nasiraha nyingi zinapitia hapo kwaio nipigo kubwa mno Iran
-IRGC-Iran revo
USA na Israel wameonyesha uthubutu?US hawezi kumuacha Muisrael.
Pia nakiri Iran ni taifa kubwa lenye nguvu na silaha nyingi, hivyo kumshinda inatakiwa maarifa mengi. US na Israel wameonyesha uthubutu.
Ubaguzi dunia hii uko kila mahali namtu mweusi ndio victim wakwanza duniani kihusu dini haituhusu mana hii sio vita yakidini mana bwana netanyau Bibi mwenyewe ni atheist kama ulikua hujui yan hatambui uwepo wamungu ila kama kuna muisrael hajapenda hii vita nimjinga iran siku zote anaimba kuifuta Israel kwenye uso wadunia sasa huyo mtu akiachwa aendelee kukua hao raia kesho wataenda kuishi wapMimi siyo muislam kaka, ni mkristo, na nimekaa Israel kwa miaka 2. Najua jinsi nchi ile ilivyo, sidanganywi na mtu, sipo Israel kwa sasa lakini nina marafiki wengi waki-jews, rafiki zangu wote wana misimamo inayopingana na Netanyahu na wale wachache ambao ni Orthodox jews ambao wanafuata Halakha (Msimamo wenye mrengo mkali wa kulia, na si wengi kwa namba yao) wengi wao wanampinga Netanyahu na sasa opinion polls imebadilika asilimia 46 tu ya waisrael wote wanaona hivi vita vina faida kwa nchi, hawa ni kutoka asilimia 67 mwezi mmoja uliopita. Wewe unajua huyu Netanyahu amesababisha Israel kuwa ya nchi ovyo kuliko ilivyokuwa? Au unapanua domo tu bila kuwa na idea? Wewe unaweza kuwa mkristo kama mimi.....SAWA, je unajua hata sisi wakristu tunabaguliwa huko Holy Land? (Sidhani kama umefika huko, ungefika na ukaona unavyobaguliwa kutokana na rangi yako na dini yako ungeshangaa na kufadhaika mno). Unajua juzi tu, wiki iliyopita jumapili, Cardinal wa Jerusalem, Pierbattista cardinal Pizzaballa alikatazwa kufanya misa jumapili ya Matawi (Palm Sunday)? Hao wanaotetea waisrael hasa maseneta ya Marekani wakaingilia kati, but it was too late.
Unaelewa kuwa watu wa dini nyingine hata hao wakristo wanabaguliwa huko Israel? Isipokuwa jews wenyewe, tena jews wale weupe, wenzangu (Falasha) wanaonwa kama watumwa, sembuse wewe mwenye ngozi nyeusi? Endelea kujifanya myahudi mweusi, hawa jamaa ni wabaya mno....HAWAFAI. Kama walimuua Jesus christ, aliyekuwa myahudi mwenzao, watakuthamini wewe? Hivi mnaelewa kweli au mnadanganywa huko mnakokuwa?
Nina uhakika umeskia Tu Daraja limebomolewa ila hata picha yake hujawahi kuiona, kukusaidia Tu Kutoa ujinga.Yan wew unajifanya unalijua hilo daraja kuliko waliolitungua asee pathetic