Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Siongei kishabiki wala propaganda.Ni huzini siku ya leo. Uchi wa kuku uko wazi😂
A-10, F-15, black hawk in single day?? Hii ni aibu Trump!
Ndege zilizotunguliwa si chini ya 20, it's just Jana zimepigwa Ndege/Hellcopter 5 kwa mpigo.Yani Iran kufanikiwa kutungua ndege mbili tu ndio imekua gumzo na shangwe kwamba wapo vizuri😀😀😀
Wakati viongozi wao wote wameliwa vichwa wamebaki 9 na kila siku wanaisha,ikifika tarehe 30 April Iran itakua haina kiongozi
Nyie hua mna kelele sio wa kuwasilikizaNdege zilizotunguliwa si chini ya 20, it's just Jana zimepigwa Ndege/Hellcopter 5 kwa mpigo.
Before Jana Bloomberg wali confirm atleast Ndege 16 za Marekani zilipigwa so do your math.
Pia jipe moyo, wenzako washatepeta huko sasa hivi wanapiga Tu Raia na civilian targets, hata hawaelewi wanapigania nini wakati kila siku Iran anapunguza uwezo wao wa kupigana.
, Nchi zote za Ulaya zinataka mazungumzo na Iran na pengine vikwazo vyake vikatolewa, atabaki Tu USA na Israel wakiwa wakiwa, soon vita vinaisha na Israel itabidi atafute kwa kwenda ama abadilishe uongozi na kukubali kuishi kwa Amani na wenzake.
Hii issue ndio USA alilia kwamba Urusi anamsaidia intelijensia Iran, maana ubalozi wa Marekani ni mkubwa, kuna sehemu maalum ambayo hutumika na CIA na Iran anapiga hapo hapo tena exactly Muda ambao walikua wanafanya kikao.Hindustan Times wanaripoti kutoka kwenye gazeti kubwa la US Wall Street Journal ambao walifanya uchunguzi, kwamba kwenye shambulia ktk ubalozi wa US nchini Saudi,kuna maafisa wa CIA waliangamizwa (Japo hawa kutaja idadi).
View attachment 3567313
View: https://m.youtube.com/watch?v=Z43cA8cUxL8&pp=ugUEEgJlbg%3D%3D
Kwa hio unafikiri iran ya sasa isiyo na viongozi ni sawa na iran ile ya miezi 2 nyuma?😀Viongozi ni watu na watu ni viongozi. Viongozi hawawezi kuisha labda uue raia wote. KUMBUKA Kuna viongozi wengine wapo nje bado wanaweza kuji organize wakawa viongozi. Pia ranks za vyeo akiuawa wa juu anaye fuata kicheo anashika hatamu automatically
Sio kule kwenu alikufa magufuli mmoja tu vikao wiki nzima na wakati Kuna katiba.
Kwanza tulishakubaliana Anga la Iran ni jeupe inakuwaje sasa Trump ana clear Anga? Huoni kauli zina contradict?Nyie hua mna kelele sio wa kuwasilikiza
mliongea hivo hivo kua Iran hawezi guswa,haya kaguswa sasa, Khamenei yupo kuzimu huko, viongozi wa Iran wanaliwa kichwa mmoja mmoja kila siku.
Israel anatosha kabisa kumalizia kazi kidogo iliyosalia
US anaclear anga kazi iwe rahisi
Hio iran mnayoisifia viongozi wake wengi wameuwawa kama kuku hapo hapo iran kabla ya vita na baada ya vita
Tulieni Iran ameshakua dhoofu
Ndege kutunguliwa kwenye uwanja wa vita ni matukio ya kawaidaNdege zilizotunguliwa si chini ya 20, it's just Jana zimepigwa Ndege/Hellcopter 5 kwa mpigo.
Before Jana Bloomberg wali confirm atleast Ndege 16 za Marekani zilipigwa so do your math.
Pia jipe moyo, wenzako washatepeta huko sasa hivi wanapiga Tu Raia na civilian targets, hata hawaelewi wanapigania nini wakati kila siku Iran anapunguza uwezo wao wa kupigana.
, Nchi zote za Ulaya zinataka mazungumzo na Iran na pengine vikwazo vyake vikatolewa, atabaki Tu USA na Israel wakiwa wakiwa, soon vita vinaisha na Israel itabidi atafute kwa kwenda ama abadilishe uongozi na kukubali kuishi kwa Amani na wenzake.
Weka na idadi ya Ndege za Iran zilizotunguliwa kindezi?Kwanza tulishakubaliana Anga la Iran ni jeupe inakuwaje sasa Trump ana clear Anga? Huoni kauli zina contradict?
Na ana clear vipi Anga wakati kila siku uwezo wa Iran Una improve? Sasa hivi Iran anauwezo wa kudetect Hadi F-35 na kuzipiga?
Hii Lockheed Martin stock Yao ndani ya mwezi
View attachment 3567323
Watu walisema vita vitawafaidisha Marekani na kampuni zao za ulinzi, wanauza Sana Silaha etc, reality? Zinaporomoka, watu washaanza kuona Ndege zinapigwa kindezi so wnanreserve hawatoi order ama kuzinunua kwa wingi.
Wenzako wamechanganyikiwa huko wanatimuana wenyewe kwa wenyewe na wasipokua makini Serikali ya sasa inaweza pinduliwa Marekani, hao jamaa wa vita hawawezi kukaa wanadhalilishwa.
Sio Ndege 5 kwa siku lakini, wewe unasema Jambo la kawaida ila hata USA wenyewe kwao sio kawaida na kikao cha Dharura kikawekwa.Ndege kutunguliwa kwenye uwanja wa vita ni matukio ya kawaida
Au mnataka marekani yeye atoe dozi tu asipate hitilafu hata kidogo?😀
Hizo ni challenge ambazo vitani lazima ziwepo tatizo ni jinsi mnavyopokea taarifa
Kutunguliwa kwa ndege sio kushindwa kwa vita
Waliotepeta ni hao ambao hataa kulinda viongozi wao tu hio kazi imewashinda
Mpo vitani viongozi wote wanaliwa vichwa kwa sekunde 40?na bado mnatokeza mitandaoni kuongea ongea?vita havina hata miezi 2🙆😀😀
Mbuzi akimng'ata Simba 🦁 lazima stori iwe kubwa. Lakini simba akimng'ata mbuzi wala hatutashangaa.Yani Iran kufanikiwa kutungua ndege mbili tu ndio imekua gumzo na shangwe kwamba wapo vizuri😀😀😀
Wakati viongozi wao wote wameliwa vichwa wamebaki 9 na kila siku wanaisha,ikifika tarehe 30 April Iran itakua haina kiongozi
Na ni jambo la kawaida viongozi wakuu 40 kuliwa vichwa ndani ya sekunde? siku ya kwanza ya vita 🤠Sio Ndege 5 kwa siku lakini, wewe unasema Jambo la kawaida ila hata USA wenyewe kwao sio kawaida na kikao cha Dharura kikawekwa.
Iran na Ndege wapi na wapi? Toka vita ianze imepigwa Ndege yake moja Tu tena ni yak Ndege ilionunuliwa toka Nyerere Raisi na utawala uliopinduliwa.Weka na idadi ya Ndege za Iran zilizotunguliwa kindezi?
Kama unawapenda sana omba uraia ukapambane Iran huko ndio utaona moto
Israel Taifa dogo linawasumbua miaka nenda rudi
Nawaambia Mpk desemba Mwaka huu hamtaonekana humu wote 😀
Israel anamaliza hio kazi kidogo iliyosaliaMbuzi akimng'ata Simba 🦁 lazima stori iwe kubwa. Lakini simba akimng'ata mbuzi wala hatutashangaa.
Kitendo cha simba kung'atwa na mbuzi lazima tujiulize: Je, mbuzi ametumia mbinu gani? Je, simba alikuwa amelala ndipo timing ikafanyika? Au mbuzi anatudhihirishia kwamba huyo ni Simba 🦁 wa mchongo?
Kwa hiyo, Iran kumtengenezea USA maumivu ni kitendo cha kupongezwa sana. Hatuwezi kuacha kumpongeza Iran, hatuwezi kuacha kumjadili iran kwa ujasiri na uthubutu wanaounyonyesha mbele ya simba wà mchongo. Kiukweli Iran wanastahili kusifiwa zaidi kuliko US-Israel kwa kile walichofanikiwa kule Tehran.
Wazee wa miaka 86? Inakusaidia nini kuwaua? Hao wazee ndio walikua angalau wanawatetea kina USA na israel, hawakutaka Fujo na walikua wakiwazuia vijana, sasa hivi Mojtaba kaingia na Jeshi limepewa Go ahead fanyeni mambo yenu unaona mziki wake mwenyewe. Kambi zimechakazwa zote, sasa hivi USA wanarusha missile toka mpaka misikitini na nyumba za Raia. Huko Taifa teule wamekuwa wafungwa wa hiyari, Iran anaamua Muda gani wakalale Muda gani watoke nje.Na ni jambo la kawaida viongozi wakuu 40 kuliwa vichwa ndani ya sekunde? siku ya kwanza ya vita 🤠
Sasa ulitaka wauawe watoto wachanga?Wazee wa miaka 86? Inakusaidia nini kuwaua? Hao wazee ndio walikua angalau wanawatetea kina USA na israel, hawakutaka Fujo na walikua wakiwazuia vijana, sasa hivi Mojtaba kaingia na Jeshi limepewa Go ahead fanyeni mambo yenu unaona mziki wake mwenyewe. Kambi zimechakazwa zote, sasa hivi USA wanarusha missile toka mpaka misikitini na nyumba za Raia. Huko Taifa teule wamekuwa wafungwa wa hiyari, Iran anaamua Muda gani wakalale Muda gani watoke nje.
Hakika mkuuWaswahili wanasema ugumu wa maisha ni kipimp sahihi Cha Akili ndio hiyo Sasa
Alichokifanya Iran ni reference tosha
It means nothing hata Mojtaba akiuliwa, mwengine atachukua kijiiti na mapambano yanaendelea, Nchi yoyote Ile ambayo kiongozi yupo mstari wa mbele na yupo tayari Kufa kwa ajili ya wananchi wake lazima Raia wake nao Wawe na Ari ya Hali ya juu.Sasa ulitaka wauawe watoto wachanga?
Hata hivo si wamepata msaada wa kuwahi kumuona Allah?kama wanavodai wao kufa ni thawabu
Kama ni thawabu watoke mafichoni
Mojtaba akinyofolewa mafichoni sijui mtaongea nini tena?😀
Iran anarusha makombora anakosea yanawarudia wao wenyewe ndio apambane na Israel?
Israel anapambana na Iran muda huo huo anapambana na Hezbollah Lebanon,hawa watu ni hatari,sio wa kucheza nao,utapata majanga
Usa hawezi peleka ground force mikwara tu ileHabari zilizosambaa mitandaoni ni kwamba wanajeshi kutoka Jimbo la Chechen Urusi wanaelekea Iran kujiandaa na vita ya ardhini endapo Marekani itaanzisha uvamizi huo.