joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Hii habari ndio hot kwenye vyombo vya habari middle east kwa sasa ,US atakataa kama kawaida yake.Jana usiku/Leo asubuhi kulionekana kitu kinapigwa Anga ya Iran na kudondoka Chini
View attachment 3567833
Leo asubuhi Iran wamerelease footage ya crash na Aerial view video.
View attachment 3567834
View attachment 3567835
Hudanganywi ila ulishalishwa propaganda hadi akili zako umehifadhi mfukoni,
Kwahiyo hata Trump mwenyewe alichothibitisha juu ya kudunguliwa kwa ndege vita ya USA huko Iran huamini? 😁😁😁
Baada ya muda gani?
Weka hoja kama unaendeshwa na matamanio it's Okay
Israel ndio inaathirika zaidi na kipigo kuliko Iran karibia raia wote wa Israel wana matatizo ya kisaikolojia kutokana na milio ya makombora lakini ndani ya Iran hadi leo kuna mahali hata mlio wa risasi haujasikika.
Bora wahindi kuliko Bbc, cnn na magasho wengine kama hao.Wahindi nao wanapenda sana ku-exaggerate mambo.
Mara nyingi wako more interested na media zao kuwa viewed rather than ukweli.
Sio kweli mimi binafsi hii migogoro ya geopolitics pale Ukraine nilikuwa upande wa urusi na kule south china sea nilikuwa upande wa china ila hawa wangese ndio waliompongeza samia baada ya mauaji yalitokea 0ct 29 ukiacha nchi za kiarabu hakuna sehemu nyingine walifuata huu mkumbo wa kishenzi toka hapo stance yangu ilibadili mchina na mwenzie mrusi lolote kwenye migogoro ya geopolitics lolote baya liwapateUko sahihi, kuna watu saikolojia yao huwatuma kumuunga mkono mwenye nguvu, wao wanataka wawe on the winning side siku zote. Hao ndo huwa wanaunga nkono au kushabikia nchi zenye nguvu sana kijeshi LAKINI kuna watu saikolojia yao huwatuma kuunga mkono underdogs, wanyonge, watu wa aina hiyo ndo hutetea nchi zinzaoonewa au pande zinazoo
Mapenzi uchizi. Wengine wanafika mbali na kushangiria mabwana zao wakiuoa watu huko palestina, Lebanon, west bank,.... Sahizi wanaona mabwana sao wamekalia kuti kavu wanatangaza AKILI ZINARUKA ... ngoja dawa iingie vizuri. tutaelewana tuAhahahha dah kweli mahaba yakizidi akili zinaruka
Siamini kama Marekani anaweza kudanganya tukio hili , sababu akioatikana na kukamatwa na Iran itakuwa aibu mara mbili .Kuna asilimia kubwa Marekani hii mission amefeli.
Rubani hajatajwa jina, hakuna picha kama ile waliyomkamata Maduro wala video.
Licha hivyo, namna ya taarifa wanayoitoa imekaa ki movie (Hollywood). Haijakaa kiuasilia.
Funny thing kwenye hii incident zimepigwa Isfahan, Ndege imedondoka karibu na mpaka km kama 50, Isfahan ipo mbali mno, why Rubani awe yupo Isfahan?Hii habari ndio hot kwenye vyombo vya habari middle east kwa sasa ,US atakataa kama kawaida yake.
Sasa utamlaani kila nchi maana wiki chache baada ya october 29, Wamarekani walitia mguu bongo kusaini mkataba fulani hivi wa ishu za rasilimali.Sio kweli mimi binafsi hii migogoro ya geopolitics pale Ukraine nilikuwa upande wa urusi na kule south china sea nilikuwa upande wa china ila hawa wangese ndio waliompongeza samia baada ya mauaji yalitokea 0ct 29 ukiacha nchi za kiarabu hakuna sehemu nyingine walifuata huu mkumbo wa kishenzi toka hapo stance yangu ilibadili mchina na mwenzie mrusi lolote kwenye migogoro ya geopolitics lolote baya liwapate
.Iranian walitumia Drone kwanza kutasmini mzigo gani wameshusha kutoka juu💥🤠🤠Jana usiku/Leo asubuhi kulionekana kitu kinapigwa Anga ya Iran na kudondoka Chini
View attachment 3567833
Leo asubuhi Iran wamerelease footage ya crash na Aerial view video.
View attachment 3567834
View attachment 3567835
Hakika kabisa Mkuu.Uko sahihi, kuna watu saikolojia yao huwatuma kumuunga mkono mwenye nguvu, wao wanataka wawe on the winning side siku zote. Hao ndo huwa wanaunga nkono au kushabikia nchi zenye nguvu sana kijeshi LAKINI kuna watu saikolojia yao huwatuma kuunga mkono underdogs, wanyonge, watu wa aina hiyo ndo hutetea nchi zinzaoonewa au pande zinazoonewa.
Kwa hiyo Warusi na Wachina ndio walio wamaliza hiyo 29.oct ?Sio kweli mimi binafsi hii migogoro ya geopolitics pale Ukraine nilikuwa upande wa urusi na kule south china sea nilikuwa upande wa china ila hawa wangese ndio waliompongeza samia baada ya mauaji yalitokea 0ct 29 ukiacha nchi za kiarabu hakuna sehemu nyingine walifuata huu mkumbo wa kishenzi toka hapo stance yangu ilibadili mchina na mwenzie mrusi lolote kwenye migogoro ya geopolitics lolote baya liwapate
Kwa hiyo malengo yameongezeka na kua kumuokoa rubani.Na yule rubani alikuwa anatafutwa na nchi nzima, itoshe tu kusema hii mission imempunguzia credit Iran.
Kwanza ingekuwa rubani wao ndio kaanguka Israel au nchi za gulf angefia huko kwanza wasingejisumbua kumtafuta
Lengo la Trump kwa sasa ni kuwavuta kilazima waarabu nao waingie vitani kisha ajitoe kiaina.