Kama kawaida mzee wa kuokoteza habari😃😃kombora kuharibiwa unaita hasara,vyombo vyote vya habari vinaripoti kutunguliwa kwa ndege za USA zaidi ya 6,wewe ulikuwa hujui hili ulikuwa kwenye mazoezi ya kwaya kanisani kwenu Madaba unakurupuka kujifanya una hoja😃Kombora la Iran huko Kermanshah limeharibiwa kabla halijarushwa kuelekea Israel!!!
Iran anaendelea kupata hasara kubwa ya vifaa na watu hasa makamanda wake!!!
Msemaji wa Iran ni muongo unapigaje ndege 2 na marubani na wale waliokuwa ndani ya hizo ndege wakaenda wapi? Wamekimbilia porini?
Iran mwenyewe anapata kipondo cha mbwa-koko kwa makombola yake kuangamizwa!!
Unahitaji foothold kuingiza hivyo vifaa, there is a reason kwanini USA alikua anataka kuungwa mkono na Wakurdi wa Iran, ukishapata Eneo lako from there ndio unaleta vifaa.Uvamizi wa ardhini unaambatana na silaha nyingi kama vifaru magari vita nk.
Hiki ukichokiandika hakina uhalisia wowote ule
Baadi ya wachambuzi wanadai ilikuwa ni maandalizi ya kutengeneza route for future ground invention ila hayakufanikiwa.Uvamizi wa ardhini unaambatana na silaha nyingi kama vifaru magari vita nk.
Hiki ulichokiandika hakina uhalisia wowote ule
Milele Amina.Yaani! Wao wanajua kila aliye upande wa Iran basi huyo atakuwa ni Muislamu. Duh! 😲😲 Udini umewajaa.
Wengine tuko upande wa haki: hatupendi dhulma, hatupendi uonevu unaofanywa na US-ISRAEL. Tunasimama na Iran sababu ya udhalimu unaofanywa na US-ISRAEL.
Nimetoa comment hii baada ya kutoka kanisani, ibada ya saa nne asubuhi. Tumsifu yesu Kristu ndugu zangu.
Sasa hivi wanadai zilipotea ndege nyingi , mbili ni zile kubwa na helicopters za kutosha tuDuh!
Kumbe jana kwenye operesheni ya kuokoa askari wao hiyo jana, Marekani ilipotezeza ndege mbili!
Naona idadi ya ndege ambazo Iran inazidondosha inazidi kuongezeka.
Kuna maswali ya kujiuliza hapa.Aircraft destroyed during US ‘rescue’ of downed F-15 pilot cost more than $100 million each
Sunday, 05 April 2026 11:02 AM [ Last Update: Sunday, 05 April 2026 11:02 AM ]
The debris of two Black Hawk helicopters and a C-130 transport plane destroyed by the Islamic Revolution Guards Corps (IRGC), during a rescue mission to retrieve a crew member of a downed F-15 Eagle, Isfahan Province, Iran, April 5, 2026. (Photo via social media)
Duh kama habari hiyo ya whangsong ni ya kweli basi kazi ipo mbeleni.Kwa mujibu wa AI ya Google
====
The straight-line (air) distance from Tehran, Iran, to the Pentagon in Arlington, Virginia, is approximately 6,350 to 6,360 miles (10,220 to 10,230 km), based on flights from Tehran Imam Khomeini International Airport (IKA) to Washington Dulles International Airport (IAD), which is near the Pentagon.
Hapana, ni thamani ya binadamu!Ndo ujue thamani ya mwanajeshi mmoja wa American ilivyo kubwa
Sio uongouongo Bal katika vita Kuna uongo wa makusudi kwa malengo maalumu,unaweza ukita DisinformationTuwe wa kweli hii vita imejaa uonguongo sana. Kila upande hauaminiki na taarifa zake. Tusubiri matokeo ya mwisho tu.
Sio nchi zote zinajua thamani binadamu Kwa hiyo asijumuisheHapana, ni thamani ya binadamu!
Hakuna mali yenye thamani kuzidi uhai wa binadamu.
Ndo maana baadhi yetu tunapinga vikali sana hoja dhaifu za CCM kuhalalisha mauaji ya Oktoba 29 kwa sababu ya kulinda mali.
Muongo wewe unapenda haki wapi? Mbona kwenye uzi wa Russia-Ukraine War upo upande wa Russia? Kule Russia ndio mvamizi anaonea Ukraine unasemaje?Milele Amina.
Kusema kweli Hawa baadhi ya memba humu wanaoingiza mambo ya dini wanaiharibu kabisa thead hii.
Ukweli hata Mimi siku zote nasimama na yule anaeonewa ,anaedhulumiwa bila kujali rangi,dini,kabila wala lugha.
Mimi pia ni RC karibu msaatafu wa Jumuiya Ya Mt ******* Kanda ya Mt Atahanas Parokia ya Mt ******.
Mie napendaga haki TU.
Hata Marekani ikionewa nitakua upande wake
kikawaida hiyo ndo hali ya miaka nenda rudi ya vitaTuwe wa kweli hii vita imejaa uonguongo sana. Kila upande hauaminiki na taarifa zake. Tusubiri matokeo ya mwisho tu.
ukifuatilia story ya kwamba Putin alitoa maombi ya kujiungaga nato huko kitambo akakataliwa , na muda huo anaamini kwa jeshi lake atakua mdau muhimu, akapata kuelewa kwamba hii nato adui wake ni russia. kwa hiyo pale kitaalam sana anaonewa "rasha" + makubaliano waliowekeana kwamba hawatajitanua kumkaribiaMuongo wewe unapenda haki wapi? Mbona kwenye uzi wa Russia-Ukraine War upo upande wa Russia? Kule Russia ndio mvamizi anaonea Ukraine unasemaje?
Hata Marekani haithamini kivile uhai wa binadamu, la sivyo, matukio kama ya George Floyd au Tuskegee experiment, lynchings na kadhalika, yasingekuwa yanatokea.Sio nchi zote zinajua thamani binadamu Kwa hiyo asijumuishe
Moja ya nchi isiyothamini uhai wa binadamu ni Iran ikifuatiwa na TANZANIA
Marekani ni nchi namba Moja inayothamini uhai wa binadamu