Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Takataka๐Ÿ›Œ
Wanapigwa huko km mende we unaongea ufyolo hapa.
 
Punguza jazba jibu swali lililoulizwa Iran imeua viongozi wangapi wa Israel au Marekani?

Tuliza akili zako Acha kubwabwaja ovyo ovyo na kulaumu Media za Israel na Gulf wakati huohuo Iran wenyewe wameshindwa kutuambia lini Mazishi ya Gaidi Ayatollah Ali Khamenei yalifanyika na mtoto wake Majitaka Khamenei yuko wapo na anafanya nini maana hatumuoni popote hilo wewe ulivyo Mjinga na Mpumbavu hulioni!!!
 
Jibu swali lililoulizwa Acha ujinga wa kukwepa Maswali
Vita sio ishu ya kuua viongozi,
Viongozi wa Iran wanekuwa wakiuliwa na Israel kila siku hata kabla ya vita.
Vita ni mikakati na hadi sasa Iran yuko mbele kwenye mikakati, kabla ya vita na sasa Iran uchumi wake umeimarika zaidi mishahara imeongezwa kwa watumishi.
Upande wa pili wanaandamana maisha kupanda mara dufu, umeuona huo utofauti?
Uchumi wa USA unategemea middle East kwa asilimia zaidi ya 40%.
USA anapambania maslahi ya kiuchumi wakati Israel anapambana utulivu wake middle East anafahamu hatakua huru kuishi na Iran iliyoimarika.
Echolima1
 
Kwa akili yao kuuwawa kwa viongozi siyo vita?

Unavailable Iran yuko mbele kimkakati hiyo Mikakati unayoisema wewe ni mikakati gani ya kupigwa kama ngoma kila siku?

Mikakati gani ya askari kutoka nje kuingia nchini mwako na kuwaokoa wenzao na kuondoka salama salimini?
 
Wanakuwaga kama hawana Akili ๐Ÿ˜€

Wanauongo uliovuka mipaka
 
Ndio yale yale Osama kafa amezikwa baharini

kupiga mabomu miundo mbinu ya kiuchumi ya UAE sio sawa.

Na ww hujiulizi kwanini hao gulf nations na UAE hawajarusha hata bomu moja Iran?.

Mwanzon wameshambulia kambi za kijesh za marekan zilizoko jiran.
hii ni sawa. Sasa muda huu unapiga airport. Unapiga maghala ya kuhifadhia mafuta. Kwanini?.

sio kwamba USA hawawez kulipua miundo mbinu ya kiuchumi ya Iran. Hapana.
Kuna kitu kinasubiriwa. Na soon utashuhudia.
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜,
Una maswali mazuri sana mkuu,
1. Kuuliwa kwa viongozi ni vita nakubaliana na wewe lakini ukubwa wa tatizo unategemea aliyepata tatizo husika, so kwa Iran hili kwao sitatizo kubwa kwenye medal za kivita na hili limethinitishwa hadi na wachambuzi wa magharibi wenyewe wamekubali.

2. Kuhusu kupigwa kama ngoma nakubaliana na wewe lakini vipi kipigo cha Iran kwa Israel na maslahi ya kiuchumi ya USA ndani ya middle east mkuu?

3. Kuhusu rescue mission inamaswali mengi sana so hadi sasa sipingi lakini sijakubali ninaamini anything is possible, mission inaanza USA wanaharibu ndege zao wenyewe zote mbili zilizoenda kutekeleza majukumu , hupati maswali yeyote?๐Ÿ™
Praise to ALLAH, DONALD J. TRUMP ๐Ÿ˜
 
Alipue mara ngapi, siku ya kwanza kalipua shule kaangamiza wanafunzi zaidi ya mia sabini, kapiga kisiwa cha Kharg ambacho huzalisha mafuta,kavunja daraja?Na uzuri mabaki ya bomu lilotumika ya Tomahawk yamepatika na picha Satellite zilionyesha.

Ulitegemea Iran afanye nini?Halafu Iran mwanzoni alikuwa anapiga maeneo ya kijeshi, ila Myahudi akaanza na kituo cha Oil Refinery Tehran,Iran nae akaanza kupiga Oil Refinery, US akapiga Kharg sehemu wanazalilishia gas,Iran nae akapiga makampuni ya Gas na mafuta ambayo US ana maslahi nayo Middle East, Myahudi juzi kapiga chuo Iran cha maswala ya Science na Tech,Iran nae akajibu kwa kupiga makampuni makubwa ya Tech ya US,Myahudi kapiga Natanz kituo cha kuzalisha umeme cha Nuclear Iran akapiga kituo cha Nuclear cha Damona, juzi US kalipua daraja, hili ndilo ambalo Iran hajalipa.

Uzuri Iran alishaziambia hizo nchi za Middle East mapema kabla ya hizo vita kuanza, kwani mashambulizi mengi ya US yaliratibiwa kwenye ardhi yao,so wanacho kipata wanakistahili. Ndio maana nilikuambia baada ya hii vita ,nchi za Middle East zitakataa US kuweka base zao maana wamepata hasara kubwa, yaani sasa hivi Dubai unaweza pata room hata kwa 30k za kibongo kwenye hotel kubwa ya nyota tano,Mall hazina watu,Real Estate imecollapse,biashara ya mafuta na gas inayumba na kuna wengine wamesitisha uzalishaji. Manake hujui kesho US atamchokoza nani sababu anapenda vita,maana hata siku akimgusa Russia au North Korea lazima tu kuna baadhi ya maeneo ya middle east na hata makampuni ambayo US anahisa yatalipuliwa, kabla ya kirusha ICBM kwenda US.
 
Unafuatilia taarifa lakini Boss?
Kwahiyo hadi leo hakuna popote kuhusu mafuta na gesi ya Iran iliposhambuliwa?
Irani mara zote amekuwa akifanya comeback akiligwa kituo cha mafuta analipua kituo cha mafuta miundombinu anapiga miundombinu
 
Hii ni story kujigeuza victim. Hata Israel alivamiwa kwanza na Hamas wakateka raia wa Israel hivyo anaweza kujustify kwamba yeye ndio anaonewa na sasa anajitetea tu dhidi ya Hamas na mtu anaewafadhili ambae ni Iran.
Unaweza kubadiri story yeyote ikawa wewe ndio victim. Any way tuendelee na updates za Israel-US Iran war.
 
Kwanini hao viongozi mliowaua wa ISRAEL NA USA msiwataje kwa majina ?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Israel hachekeshi anawa kill Kisha anatangaza

Iran wanathibitisha tu

Ona hii ya muda huu๐Ÿ‘‡

Sasa ni rasmi IRAN wame thibitidha kifo Cha aliye kuwa mmoja wa majeneral katika jeshi Lao.

Majid Khademi mbali ya kuwa Jenerali pia alikuwa mkuu wa idara ya Ujasusi kwenye jeshi la IRGC, Kwa kifupi alikuwa ndo boss wa Ujasusi ndani ya jeshi hilo kubwa la IRAN.

CHANZO : Al Jazeera

#fblifestyle

MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ
 
Sasa ni rasmi IRAN wame thibitidha kifo Cha aliye kuwa mmoja wa majeneral katika jeshi Lao.

Majid Khademi mbali ya kuwa Jenerali pia alikuwa mkuu wa idara ya Ujasusi kwenye jeshi la IRGC, Kwa kifupi alikuwa ndo boss wa Ujasusi ndani ya jeshi hilo kubwa la IRAN.

CHANZO : Al Jazeera

#fblifestyle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ