Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na marekani wameshambulia kwa makombora

More than 20 sites in Israel hit by projectile fall in latest wave of Iranian attacks​


Israel’s emergency services report that at least 28 impact sites in central Israel, blaming Iranian cluster munitions.

11:40

 
Maeneo mengi ya Iran yanachakazwa sawa sawa na majeshi ya Israel na Marekani
 

Attachments

  • 6103025909346010110.mp4
    948.5 KB
  • 3606827259308666771.mp4
    1.7 MB
  • -3169766291528847694.mp4
    1.5 MB
  • -1996238248975285600.mp4
    1.2 MB
Ila kobaz ni mazuzu.

Inakuwaje viongozi na wanajeshi wao wanauliwa mara kwa mara miaka na miaka. Inamaana hayajui kujifucha??

Inamaanahayajifunzi haya makobazi??

Knakuwaje adui anakufanyia assassination lakni wewe hufanuia assassination kwa adui??

Konaz majinga kweli
 
Tatizo lenu nyie maraizoni mko kwenye dhulma ndio maana mnaogopa kufa.
 
Kuna vitu vigumu sana kutetea
Ndege zinaruka kutoka Israel umbali wa kilomita 2000, zinaingia Iran zinamsaka alipo kiongozi wa nchi zinafanikiwa kumuua, zinamsaka alipo mkuu wa majeshi na mawaziri zinafanikiwa kuwaua
Baada ya siku mbili zinasaka tena walipo majenerali zinafanikowa kuwaua

Baadae tena zinaingia zinasaka alipo mkuu wa usalama wa nchi, zinafanikiwa kumuua, kesho yake zinamsaka alipo waziri wa intelijensia, zinafanikiwa tena kumuua
Baada ya siku mbili tena zinasaka makamanda wakuu wa jeshi zinafanikiwa kuwaua. Bado mtu anakwambia hakuna shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…