mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 1,229
- 2,414
Wewe ulitaka Hams na Hezbollah zisipiganie ardhi yao inayochukiliwa kinguvu? Na ulitaka wasipate msaada wowote? Wakisaidiwa katika hizo vita kuna ubaya gani?Cut the Long story short.
Je Hoja ya wayahudi ni kuhodhi nusu ya maeneo uliyoyataja?.
Sababu ya Vita za Iran zinafahamika na kila mtu.
Hata sisi tulioko umurashaka tunajua.
unahis kuna sababu nyingne nje ya hizo?.
Hamas , na Hezbollah zinapigana na Israel miaka na miaka. Nadhan unajua.
silaha na nguvu nadhan unajua zinapotoka.
Nyuklia ya iran imeathirika vipi ktk hii vita?
Unaongelea iran kurudi nyuma kijeshi, vipi Israel yeye harudi nyuma kijeshi kama Iran? Vipi marekani nguvu yake mashariki ya kati na kiujumla hairudi nyuma?
Upo ktk mwezi mchangaNi uongo kuwa Iran aliangusha F-35!!!!
Kwanza tambua kilichawapeleka huko Iran si Mlango bahari wa Hormuz kwa hiyo hiyo si kigezo kwao hayo ni mawazo yako wewe!!
Tambua hili kwanza marekani waliondoa askari wao huko kwenye gizo base walibaki tu labda walinzi wa kulinda mali kidogo iliyoachwa!!
Nashangaa unapotafuta udhaifu wa Marekani kwenye sehemu ambayo aliwaondoa askari wake.
Kama mnatafuta udhaifu wa Marekani anazo meli-vita nyingi sana huko Mashariki ya kati zamisheni moja hapo ndipo tutajua udhaifu wake.
Kama mnataka kuona udhaifu wa marekani nendeni huko Marekani mkamtoe Maduro gerezani!!!
Kuhusu mabomu yanayorushwa Israel mengi ni Craster-bombs ambayo ni kinyume kutumiwa ambayo mengi yanapopolewa hukohuko angani hivyo kuyamalizia nguvu,
Asilimia kubwa ya mabomu ya Iran hupopolewa na mengine huangukia sehemu za wazi na ndiyo maana hakuna madhara makubwa kama wewe unavyokaririshwa na video za AI.
Kinachonishangaza wewe huoni madhara anayopata Iran kwa miundombinu yake kuangamizwa kila uchao na mashambulizi ya ndege-vita za Israel!! Wala hushangai kutokuziona ndege-vita za Iran zikililinda anga la nchi yao!!!
Wala hushangai kwa nini Marekani na Israel waliweza kuwafuata marubani wa ndege-vita ya Marekani F-15 E kuwaokoa na wakaondola nao hilo hushangai na huoni kuwa huo ni udhaifu wa IRGC na mifumo yake ya ulinzi wa anga? Sasa nimeamini wahenga walichokisema Nyani haoni kundule
Mkuu yaani Israel na marekani wawe na taarifa ya alipo kiongozi mkuu wa nchi na viongozi wakuu wa jeshi, wafanikiwe kuingia ndani ya Iran wawashambulie na kuwaua alafu wasijue haya uliyoandika????π€£π€£π€£ Ndivyo mnavyojidanganya na ndio maana mkaingia kochwakichwa ktk hii vita. Iran aliusoma mchezo na alijua matokeo yake ndio maana mambo/kambi zake muhimu akaziweka chini ya ardhi ambako hazifikiki. Nina uhakika irani itafudi kuimarika haraka kwa sababu yupo nyuma ya nchi zenye uchumi mmubwa kama china na Russia
Muda huu zipo nyingi upande wa magharibi mwa Tehran na upande wa katikati mwa Tehranπ₯π₯π₯π₯
Makumi ya ndege yapo juu ya Tehran muda huu.