City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Putin mwenyewe anaomba msaada kwa N. Korea sijui kama atakuwa na huo uwezo wa kum assist Iran wakati nayeyey ana uhitaji mkubwa wa military support.Iran ipo live, anataka support ya Russia. Ngoja tuone unaa wa Putin na China
Mkuu unataka kusema hizi hotel za Dubai zilizoshambuliwa zinatunza vifaa? Kabisa mkuu umewaza hivi?Zinapigwa precision strike, umesikia Dubai kafa mtu?
Hizo assets ndizo zinatumika kutunza vifaa , watu na mikakati ya kuishambulia Iran..
Milipuko ya kila siku Iran, walipuaji na assets zao zinakaa hizo nchi za Middle East.. unataka Iran awachekee...
Kuuawa wa commanders wa jeshi karibu 30, hizo sehemu zinazolengwa zinahusika ...
Iran ndio SI unit ya Mikwara Duniani π π πIla hii mikwara ya Iran ππ.
US anaishi kimkakati sana. Wameweka bases za kutosha pembeni ya Iran, ukizingua tu tunakuzika
Nikisema vifaa simaanishi vifaru ama launchers za missiles...Mkuu unataka kusema hizi hotel za Dubai zilizoshambuliwa zinatunza vifaa? Kabisa mkuu umewaza hivi?
Marekani akatunzw vifaa vyake vya kijeshi kwenye mahotel huko Dubai? Ili