Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la viwanda vya meli khorramshahr
 
Muhimu kwenye Vita tangu Mossad inauwa Vizee hakuna mafanikio yoyote kwa wakazi wa Miji ya Israel na Gulf States !!!

nasema uwongo MOTO upo kama janaπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯

zaidi ni kujitaftia Misifa tu isio nafaida kwa Usalama wa Israel

mtu mwenye uwezo wa kuzuiya kushambuliwa Israel hawawezi kumjua yupo sehemu Salama..
 
Huo uongo wenu unaisadiaje Iran kukwepa kibano
 
Kuzipoteza was part of the mission, zilikuwa one way aircraft, not to return and were destroyed by their own bombs before they took off
Ndege zimepigwa na Iran at this point kama unabisha ushahidi wote uliotolewa umeamua Tu kubisha.

1. Ndege zimejaa matobo ya Risasi, ukitelekeza Ndege na kuilipua matundu ya Risasi yametokea wapi?

2. Ndege zina ammunition na vifaa kibao ndani vya thamani, kama ni one way why uwaachie Iran vitu vyote hivyo?

3. Iran wametoa video live ya moja ya mshambulizi wa Ndege

So far USA hawajataja jina, picha ama ushahidi wowote kwamba wameokoa MTU zaidi ya Trust me bro.
 
Mkuu yaani Israel na marekani wawe na taarifa ya alipo kiongozi mkuu wa nchi na viongozi wakuu wa jeshi, wafanikiwe kuingia ndani ya Iran wawashambulie na kuwaua alafu wasijue haya uliyoandika????

Kwani kiongozi mkuu alikuwa wapi kiasi cha kuitaji Mossad au CIA Ayatollah alikuwa kwenye makazi yake Rasmi hakutaka kujificha popote!!!
 
Hebu tuwekee hiyo video na sisi ambao si Wafuga Midevu na Majini tuzione!!! Au hiyo live video mna Ina ninyi tu Wafuga Majini?
 
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI KWA NETANYAHU KIBOKO YA ALLAH NA MAGAIDI πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameposti hii picha na kuwaka maneno ya

"Tunaendelea na usafi wa Pasaka ya Kiyahudi tunamshambulia adui wa Iran"
 
Mmeteketeza ndege na hakuna askari yeyote mliyekamata au mabaki,you guys are very funny 😁
 
Kwani kiongozi mkuu alikuwa wapi kiasi cha kuitaji Mossad au CIA Ayatollah alikuwa kwenye makazi yake Rasmi hakutaka kujificha popote!!!
Unamaanisha kuwa mtu yoyote anaweza kuingia Iran muda wowote na kuua kiongozi yoyote anayemtaka?
 
Mmeteketeza ndege na hakuna askari yeyote mliyekamata au mabaki,you guys are very funny 😁
Hawa watu uongo ndio kitu pekee wanachoweza.
Anasema hakuna marubani waliookolewa, kwa hiyo hao marubani bado wapo ndani ya Iran? Na Iran Wameshindwa kujua walipo

Nilidharau hawa washabiki wa Iran baada ya kuamini kuwa Netanyahu kauwawa.
Ni Kama hawapo timamu hivi

Jana kuna mmoja alilua anasema Wanakijiji wa Iran walikua na magobole tu wakarudisha nyuma wanajeshi wa marekani waliotumwa kumtafuta mwenzao. Imagine juu kuna fighter jets, ni nani chini anaweza kupambana kwa gobole dhidi ya fighter jets?
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la kermanshah
 
Wewe kidogo kuna swali unauliza unajaribu kumuingiza jamaa kwenye mtego wako sema nadhani kakusoma,ukiwa na akili nzuri kuliko Echolima utakubali nikikwambia kwamba hao Hamas na Hiezbollah ni matokeo ya hichohicho anachokwambia jamaa ya uvamizi wa ardhi za watu.

Hamas hawakukurupuka tu walitokea baada ya Israel kuanza kupora maeneo ya Palestina na kujitanua zaidi sasa nyie wenzetu mnaona Hamas akipigania ardhi yake ni kosa mnasema gaidi ,hivi mna roho na akili gani?! The same to Hezbollah uwepo wao nao ni kwasababu ya uporaji wa kipande cha ardhi ya Lebanon na Israel..Sasa hata kama tutasema Iran anasaidia hayo makundi hivi ni vibaya kusaidia mnyonge?!usichokijua ni kwamba Hamas na Hezbollah ni vyama vya siasa vyenye military wings,Iran kusaidia hayo makundi haina tofauti na Tanzania ilivyomsaidia ANC,SWAPO au FRELIMO katika mapambano ya uhuru na haki katika nchi zao...

Sema wenzetu nyie mnaweka hisia mbele sana na sijui hiyo dini yenu mna watu wa aina gani mmejawa na chuki sana,Hao Hezbollah au Hamas hawapiganii dini wanapigania ardhi zao ndani ya hayo makundi kuna wakristo wengi sana hasa Hezbollah..
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la najafanabad Isfahan. Milipuko mikubwa sana
 
Sema wenzetu nyie mnaweka hisia mbele sana na sijui hiyo dini yenu mna watu wa aina gani mmejawa na chuki sana,Hao Hezbollah au Hamas hawapiganii dini wanapigania ardhi zao ndani ya hayo makundi kuna wakristo wengi sana hasa Hezbollah..
Mkuu hii paragraph yako ya mwisho nina swali ambalo mara nyingi huwa sipati jibu, ngoja nikuulize na wewe

Ni kwa nini wayahudi wanachukuliwa na waislamu kama maadui wa waislamu bila kujali kuwa Kuna population pia kubwa ya waislamu? Hata Quran imetaja kuwa wayahudi hawapaswi kufanywa marafiki. Unahisi kwa nini jamii yote imechukuliwa hivyo?
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la moniriyeh Tehran
 
Akijibu nijulishe Niko pale kwa Mwarabu nasubiri kula daku kufidisha siku ambazo sikufunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…