Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari


Kwahiyo Qatar na Saudia wakiingia hii vita na kujibu mapigo kwa Iran itakuwa ni sawa?.
 
Naona kuna Maseneta washamuona Trump anaelekea kuwa chizi na kuipeleka nchi pabaya kwenye maswala ya uharibifu wa kivita,wanataka ku-invoke 25 ammendments. Maseneta Bernie Sandor, Chris Murphy,Tim Kaine hawaja furahishwa na kauli za vitisho zidi ya Iran,lugha kali ya matusi na isiyo ya kistarabu,kutishia kuharibu miundombinu ambayo wananchi wanaitumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…