100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Inasemekana Iran akiendelea kuna uwezekano Bahrain kukatokea regime change..Cha ajabu nchi zao zinapigwa na raia mtaani wanashangilia huko Bahrain
Keep barking like a dog 🐕 🐕 🐕Inasemekana Iran akiendelea kuna uwezekano Bahrain kukatokea regime change..
Maana Iran ilishadai Bahrain ni sehemu yake miaka ya 1950s, Iran ilishataka kuifanya Bahrain kuwa jimbo lake, na Bahrain ilishakuwa chini ya Iran kwenye karne 18 kurudi nyuma.. Na shia ni wa kutosha hapo..
Haya masuala ndio yanapelekea US na Israel waishambulie Iran.
Waambie wazungu ndio wameleta chai sio mimi.Chai
Upo sahihi kama vile watanzania 98% wapo nyuma ya serikali yao.Punguza uongo. Raia wa Iran 80% wapo nyuma ya serikali yao.
Ingekua wako kinyume na serikali yao basi raia wangeshaingia barabarani kuiondosha hiyo serikali.
Wewe kimbizana na fake news. Ilhali familia ya hao wazee zilishakimbizwa muda mafichoni.Keep barking like a dog 🐕 🐕 🐕
Iran sio Tanzania. Nadhani huwajui Iran kama hawakupendi chap wanakupindua.Upo sahihi kama vile watanzania 98% wapo nyuma ya serikali yao.
We endelea na habari za propaganda.Kwishaa Ayatollah 🤣🤣
Usiku ndipo umeingia, dozi inaanza muda si mrefu..Keep barking like a dog 🐕 🐕 🐕
Marekani wakaweke hivyo vifaa kwenye mahotel?Nikisema vifaa simaanishi vifaru ama launchers za missiles...
Wanaweza kuweka center zao huko na vifaa kama server za computers, vifaa vya mawasilaino n.k.. ulimwengu wa kijasusi upo complex..
Wameshapewa taarifa, ukibaki hayo maeneo unatafuta kifo makusudi, na zinapigwa precision strike...Marekani wakaweke hivyo vifaa kwenye mahotel?
Kwa hiyo mkuu Israel wakisema walishambulia shule sababu Iran waliweka vifaa huko kwako itakua sawa tu kushambulia shule?
Dozi imeanza muda. Hoteli kubwa za kimataifa Bahrain na Dubai zinalipuliwa. Inasemekana ni uwekezaji wa USA pia kuna makamanda wa US kwenye hizo hoteli. Ripoti ndivyo zinavyosema.Usiku ndipo umeingia, dozi inaanza muda si mrefu..
Unamaanisha hizo hotel zilipewa taarifa kuwa zitashambuliwa?Wameshapewa taarifa, ukibaki hayo maeneo unatafuta kifo makusudi, na zinapigwa precision strike...
Kwamba we utaishi milele au ndio America kashashinda vita? Babu wa miaka 75 hata akifa ana hasara gani.Yaelekea Ayatollah kwisha habari yake 🤣.
Nyie jamaa ni waongo sanaDozi imeanza muda. Hoteli kubwa za kimataifa Bahrain na Dubai zinalipuliwa. Inasemekana ni uwekezaji wa USA pia kuna makamanda wa US kwenye hizo hoteli. Ripoti ndivyo zinavyosema.
Bahrain na Dubai raia wataingia road soon. Maana uwekezaji unaguswa.