Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Sasa hivi anga za Iran, Israel na middle east yote zimetoboka Iran anapiga popote akitaka na yeye anapigwa popote itakapohitajika. Interceptors zinaoperate sehemu chache mno.
Iran wana jeshi mimi nadhani badala ya kupeleka Watoto sehemu hizo za miundombinu, walipaswa kuzuia ndege za Israel na marekani zisifanye mashambulizi yoyote ndani ya Iran
i
 
Naskia leo mambo ya makombora trump hataki tena, kunashushwa kitu kinaitwa MOAB
 
Sasa hivi anga za Iran, Israel na middle east yote zimetoboka Iran anapiga popote akitaka na yeye anapigwa popote itakapohitajika. Interceptors zinaoperate sehemu chache mno.

i
Hili lazima tuliweke sawa. Kwa udogo wa tel Aviv Kama Iran angekua anapiga popote anapotaka basi pasingekalika kabisa
Ingekua rahisi hivyo unavyosema basi Iran wangekua wanarusha makombora hata 50 au 100 na yote yanapiga. Unafikiri tel Aviv pangekalika tena?
Interceptors bado zinafanya kazi japo haziwe kuzuia missiles kwa 100%.
 
Nachelea kusema unaupeo mdogo kwenye hili la vita zaidi ni ushabiki
 
Doh!

Hizi Dini sidhani kama kweli kuna pepo au ni pepo wachafu tu
 
Iran alikuwa selective. Sasa imeanza vita ya kupiga popote tusubiri wave zitakazofuata kwenda hapo TEL Aviv
 
Jeshi la Iran litalinda, usiwe na shaka maana tuliambiwa USA ni Mchumba tu kwa Iran

Sisi tumeamini sana maneno hayo, mbona wewe una wasi wasi tena
 
Wewe unaona anapiga sana ila hata Target huzijui,Myahudi kapiga Vyuo zaidi ya 30 (source AJ+ Tiktok) vya Iran, kapiga nyumba na Maproffesa na leo kapiga sinagogi, sasa hivi vina maana gani kwenye vita na ndio maana unaona anashambulia sana. Iran mwanzo alikuwa anapiga site za kijeshi, radar na vifaa vya mawasiliano,Myahudi/US walivyo anza kushambulia miundombinu yake ndio nae akaanza kulipa kisasi. Iran hajapiga chuo wala nyumba ya ibada yoyote japo uwezo huo anao.

Moja ya eneo lilokuwa na ulinzi mkubwa sana ni Damona Nuclear Sites, eneo la Haifa sababu ndio kuna food deport kubwa, bandari na Oil Refinery kubwa inayo lisha sheli zote za Myahudi, ila Damona ndani ya wiki imepigwa mara tatu, Haifa ishapiga zaidi ya mara tano. Ule ukanda wa viwanda ambao unaviwanda zaidi ya tisini, Iran karusha mabomu ya kutosha ukanda ule. Wewe ushajiuliza ka nini Damona ilitembelewa na PM,Rais na Wazifi wake wa mambo ya ndani baada ya kupigwa? Sema Myahudi kwa kuna zuio la media na kama hujui Damona mabomu yalitua hata ving"ora havikulia.
 
Iran alikuwa selective. Sasa imeanza vita ya kupiga popote tusubiri wave zitakazofuata kwenda hapo TEL Aviv
Unachosema hakiwezi kuwa kweli. Iran hawezi kuwa selective kwa Israel sababu moja ya lengo kubwa la Iran ni kuifuta kabisa Israel
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Unachosema hakiwezi kuwa kweli. Iran hawezi kuwa selective kwa Israel sababu moja ya lengo kubwa la Iran ni kuifuta kabisa Israel
Hayo ni malengo ya mda mrefu. Lengo la vita hii kwa Irani ni kujilinda zaidi ndio mana alipomaliza kupiga air na water base za US huko mido east akawa hapigi mpaka apigwe kwanza yeye. Ila Sasa vita imefika pabovu mno.
 
Tatizo huwa mnakua na hisia zaidi na matamanio fulani badala ya uhlisia sababu hii vita haituhusu.

Unassma Israel na marekani wanashambulia vyuo, maprofesa, sinagogi. Nimeshangaa hili kwa maana umeshindwa kusema kuwa wanashambulia wanajeshi Tena high rankings na kuwaua. Nimeshangaa pia hujasema mashambulizi yanayofanywa kila siku kwenye kambi za jeshi. Au hayafanyiki?

Ukweli mchungu wala tusibishane sana Iran hawezi kuwa na huruma na Israel ikiwa lengo la Iran ni kuifuta Israel. Yaani uwe na lengo la kuangamiza nchi nzima then hapa useme kuwa Iran hajaamua kupiga hizo sehemu zingine? Inawezekanaje hii?
 
Kwani wewe hujui kuwa Tel aviv imebaki majivu,imekuwa Gaza? Wanaficha taarifa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…