Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari


View: https://youtube.com/shorts/O1uIDApwuUQ?si=MkW5gPH3Ix7FJWRS
Netanyahu anasema wao walikuwa wameisha panga vita week mbili za nyuma na Trump, ile kuongea na Iran ilikuwa nikuwadangan'ya tu hawataki vita.

Afu kuna vichaa humu wanamsifu eti Super power uliwahi kuona wapi Super power anapiga kwa kuvizia anajidai hataki vita kumbe amepanga week mbili za nyuma
 
BREAKING: IRAN'S SUPREME LEADER HAS BEEN KILLED AND HIS BODY RETRIEVED, ACCORDING TO ISRAELI MEDIA.
 
Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei was killed in an Israeli airstrike this morning on Iran, with his body being found recently among the rubble, Israeli officials tell The Times of Israel.
 
Ayatollah ana miaka 86, tokana na maradhi ya uzee, kuna probability ndogo kama ange survive miaka 5/10 ijayo..

Hii ina maana Iran walishafahamu hilo na walishaweka mikakati na succession plan baada ya Ayatollah, Ayatollah asingekuwepo hapo milele...

Kama kumuua Ayatollh ndipo kuangusha taifa la Iran, basi wasinge hangaika hata kumuua , maana miaka yake ya kuishi ilikuwa inahesabika...

Nadhani itachochea hii vita kuingia stage nyingine..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…