City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Hata Hindustan walipost kama rumors, Times of India,Al Jazeera, CNN nk wote walipost kama Rumors.So uliposema kuwa habari zipo Hindustan na hao Hindustan ni media inaaminika na sio millard ayo, ulikua ukimaanisha?
Acha kutuhamisha takataka humu!,, Mliaminisha watu Netanyahu kafa kumbe uongo!!!!Hata Hindustan walipost kama rumors, Times of India,Al Jazeera, CNN nk wote walipost kama Rumors.
View attachment 3569112
Ndio maana hata kwenye comment yangu sikuhangaika kuweka link ya hii habari. Sababu niliichukulia kama uvumi ambayo bado haukuthibitishwa.
View attachment 3569113
View attachment 3569114
Wewe jamaa sio mzima kichwaniHata Hindustan walipost kama rumors, Times of India,Al Jazeera, CNN nk wote walipost kama Rumors.
View attachment 3569112
Ndio maana hata kwenye comment yangu sikuhangaika kuweka link ya hii habari. Sababu niliichukulia kama uvumi ambayo bado haukuthibitishwa.
View attachment 3569113
View attachment 3569114
Wewe ndiye kiazi unataka kunilisha nisicho kiandika.Nakumbuka kila kitu nilichopost humu.Wewe jamaa sio mzima kichwani
Afya ya kiakili?
Vyovyote vile, this is not normal.
Rais mzima unaandika matusi kwenye kwenye mtandao wa kijamii?
Kuna jambo haliko sawa kichwaniβ¦
Iran Wapigwe tu hakuna namnaπ₯π₯π₯π₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la chabahar
Mpaka Iran anyooshe maelezo!!!!watu hamlali...
So what? Has the regime fell?π₯π₯π₯π₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la chabahar
Mbona Trump ndoo anaomba poo? Alitishia kuifuta Iran leo usiku na Iran wakasema wapo tayari. Sahivi Trump kakubali yaishe kaongeza wiki 2 tena.Mpaka Iran anyooshe maelezo!!!!
Mwanzo Iran alikataa ceasefire nashangaa sasa kukubali sijui kapata na nini kuambiwa tu atarudishwa Enzi za Mawe tayari katepeta.Mbona Trump ndoo anaomba poo? Alitishia kuifuta Iran leo usiku na Iran wakasema wapo tayari. Sahivi Trump kakubali yaishe kaongeza wiki 2 tena.
Huu ni ushabiki wa kizuzu.Mlango Bahari wa Hormuz wafunguliwa Iran kateleta!!
View: https://x.com/warmonitor3/status/2041647071480979731?s=61
Na kusema terms za Iran ndio zitakuwa base of Negotiation, sijui pro trump wanajificha wapi Sura zao.Mbona Trump ndoo anaomba poo? Alitishia kuifuta Iran leo usiku na Iran wakasema wapo tayari. Sahivi Trump kakubali yaishe kaongeza wiki 2 tena.