Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Kusitisha mapigano ni jambo jema litakalookoa maisha ya watu wengi.Na kusema terms za Iran ndio zitakuwa base of Negotiation, sijui pro trump wanajificha wapi Sura zao.
Kama Iran ni Mwamba kweli kwa nini amekubali Ceasefire? Alipay’s wa akatae ili afumuliwe vizuri!! Kapigwa Mkwara kidogo tu kukubali kuunga mkono juhudi!! Hiyo ndiyo imetoka!!!So what? Has the regime fell?
Maana hiyo ndio objective unless objectives ilikua kuua raia wa Iran maana hiyo ndio itafanya raia wanganui na serikali ya Ayatollah.
Kakubali wapi? USA ilisema ikifika Monday anaifuta Iran mbona kaufyata?Mwanzo Iran alikataa ceasefire nashangaa sasa kukubali sijui kapata na nini kuambiwa tu atarudishwa Enzi za Mawe tayari katepeta.
Iran Alipay’s wa akatae mazungumzo yoyote au ceasefire maana yeye ndiye aliyevamiwa!!! Anafanyaje mazungumzo wakati anapigwa Kama Ngoma?
Mojawapo ya Masharti ya ceasefire ni Mlango bahari wa Hormuz uwe wazi!! Wewe ndiyo Una ushabiki wa Kizuzu kabisa!!Huu ni ushabiki wa kizuzu.
Pande zote mbili zimekubaliana na kila upande umewajibika kwa kiwango chake.
Huna tofauti na watu wataodai kuwa Trump chickened out.
Single digit IQ amoeba.
Iran aliambiwa kufikia leo usiku Kama hajakubali Mashariki ya ceasefire Iran ingerudishwa Enzi za mawe, Uzuri kakubali mwenhewe kwa hiyo hakuna sababu ya kumfuta kwa maana hiyo Iran ndiye aliyeufyata!!Kakubali wapi? USA ilisema ikifika Monday anaifuta Iran mbona kaufyata?
Mzee wa fake news! Katika ubora wako.Mlango Bahari wa Hormuz wafunguliwa Iran kateleta!!
View: https://x.com/warmonitor3/status/2041647071480979731?s=61
Masharti mengine ni yapi?Mojawapo ya Masharti ya ceasefire ni Mlango bahari wa Hormuz uwe wazi!! Wewe ndiyo Una ushabiki wa Kizuzu kabisa!!
Uzuzu ni ugonjwa!Iran aliambiwa kufikia leo usiku Kama hajakubali Mashariki ya ceasefire Iran ingerudishwa Enzi za mawe, Uzuri kakubali mwenhewe kwa hiyo hakuna sababu ya kumfuta kwa maana hiyo Iran ndiye aliyeufyata!!
Kumbuka mchana alisema anafuta mazungumzo yoyote na marekani na alizuia mtu yeyote asifanye mazungumzo na Marekani alifikiri Marekani itatikisika lakini alipoona Marekani haitikisiki na ina dhamira ya dhati kuirudisha Iran enzi za Mawe imebidi tu magaidi hao wakubali mazungumzo na huku ndiko Kuufyata!!!!
Hakuna popote Iran imekubali kufungua Hormuz ingekua hivyo Trump asingetishia kulipua Iran baada ya wiki mbili Kama Hormuz haijafunguliwa.Iran aliambiwa kufikia leo usiku Kama hajakubali Mashariki ya ceasefire Iran ingerudishwa Enzi za mawe, Uzuri kakubali mwenhewe kwa hiyo hakuna sababu ya kumfuta kwa maana hiyo Iran ndiye aliyeufyata!!
Haujafunguliwa ndio maan Trump anatishia kuwa ceasefire ya wiki mbili ataikatisha Kama Iran haitofungua HormuzMojawapo ya Masharti ya ceasefire ni Mlango bahari wa Hormuz uwe wazi!! Wewe ndiyo Una ushabiki wa Kizuzu kabisa!!
Pande zote mbili zimekubali kulegeza baadhi ya masharti lakini jamaa anadai ni Iran tu ndo iliyokubali kulegeza masharti.Hakuna popote Iran imekubali kufungua Hormuz ingekua hivyo Trump asingetishia kulipua Iran baada ya wiki mbili Kama Hormuz haijafunguliwa.
Source: The Times of Israel https://share.google/Y0QoSmzIy00YjkWOf
So punguza uzushi na taharuki
"On behalf of the Islamic Republic of Iran, I express gratitude and appreciation for my dear brothers HE Prime Minister of Pakistan Sharif and HE Field Marshal Munir for their tireless efforts to end the war in the region.In response to the brotherly request of PM Sharif in his tweet, and considering the request by the U.S. for negotiations based on its 15-point proposal as well as announcement by POTUS about acceptance of the general framework of Iran’s 10-point proposal as a basis for negotiations, I hereby declare on behalf of Iran’s Supreme National Security Council:Pande zote mbili zimekubali kulegeza baadhi ya masharti lakini jamaa anadai ni Iran tu ndo iliyokubali kulegeza masharti.
Wewe kumbe ni Bumunda Kabisa hebu soma hapo chini ujinga wako ukutoke!!Huu ni ushabiki wa kizuzu.
Pande zote mbili zimekubaliana na kila upande umewajibika kwa kiwango chake.
Huna tofauti na watu wataodai kuwa Trump chickened out.
Single digit IQ amoeba.
Lete na ya upande wa pili na wa tatu….Wewe kumbe ni Bumunda Kabisa hebu soma hapo chini ujinga wako ukutoke!!
Hata Tweet ya Trump ni fake?Mzee wa fake news! Katika ubora wako.
Muamba ngoma huvutiaHata Tweet ya Trump ni fake?
Nina swali moja, kwa nini kila baada ya muda iran inavamiwa wanapigana alafu baada ya muda wanakubali ceasefire?Haujafunguliwa ndio maan Trump anatishia kuwa ceasefire ya wiki mbili ataikatisha Kama Iran haitofungua Hormuz
So Acha upotoshaji kijana
Wewe ndiye unapotosha!! Masharti ya ceasefire mojawapo ni Mlango bahari wa Hormuz uwe waziHaujafunguliwa ndio maan Trump anatishia kuwa ceasefire ya wiki mbili ataikatisha Kama Iran haitofungua Hormuz
So Acha upotoshaji kijana