Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Asubuhi Iran kashambuliwa na Pia Israel ameshambulia na makombora 100 Lebanon, So Iran wamesema soon wanatoa tamko kuhusu Hilo, pengine vita vinaanza upya mda si mrefu.
Masahihisho,duru zinasema Iran amefunga Hormuz kwasababu ya Israel kushambulia Lebanon.
Tangu ceasefire itangazwe Israel hajaigusa Iran bali ameongeza mashambulizi Lebanon vifo 100+ na majeruhi 850.
Iran amesema kama Lebanon na Gaza hazitajumuishwa kwenye ceasefire vita itaweza kurudi upya.
 
Wewe ni mgumu wa kuelewa, al Jazeera na white house wamekusaidia hapo uelewe.
 
Naona baada ya kushindwa vita wamegeuzia hasira zao kwa raia wa Lebanon.
Yaani nadhani Netanyau akipitisha siku bila kuuwa watu siku yake inakuwa haijakamilika.
Netanyahu hata sura yake ni imekaa kiuaji, kile unafanya sana huwa kina shape na mwili wako, ukinywa sana pombe mtu akikutizama tu hawezi uliza kama wewe ni mlevi ama la...
 
Una hasira na mimi ? Maana huu mwandiko haupo normal tuachane na hili.

Hizo points walizo kubaliana mpaka kufikia ceasefire umeshindwa kuziandika hapa ili twende vizuri ?
Sema Kama unazitaka Mimi nikuwekee za wote wawili Marekani-15 na Iran-10
 
Tatizo yale mnayotamani ndio mnachukua Kama uhalisia. Kwenye hiyo deal ya ceasefire Lebanon haikua included. Ndio maana Jana mlisema marekani kakubali masharti 10 ya Iran, kitu ambacho sio kweli. Ukija kuletewa ufafanuzi mnaona Kama mnachanganywa
Trump ametoa ufafanuzi kuwa Lebanon si sehemu ya ceasefire
 
Yaani kwa ufupi aliyoyasema Iran si aliyoyasema Marekani
Sio kweli, Leo Trump na marekani wanatoa ufafanuzi Hawa washabiki wanahisi Kama marekani kavunja makubaliano. Wao kile wanachotamani ndio wanahisi ni ukweli
 
Suluhisho la huu mgogoro ni kumtoa Trump na Netanyahu madarakani..
Halafu ndipo Iran watoe mapendekezo yao..
Tatizo ni washabiki ndio wanajitengenezea habari wenyewe kwa namna wanavyotamani iwe. Mkuu wewe wapi uliona kuwa Marekani wamekubali masharti 10 ya Iran??? Jiulize washabiki waliokua wanasema hivyo walitoa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…