Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel imesema itaua kiongozi yoyote mstaafu, wa sasa au ajaye ambaye atatishia usalama wake.
Israel au marekani?.. Israel anabweka tu,hata Trump alimwambia netanyahu aache kutamba,silaha ni za marekani
 
Taarifa ya Ayatollah kufa msemaji wa serikali ameikanusha labda wenda wanaficha kwa hofu ya kushusha morali wa wanajeshi wa Iran kupambana ngoja tuone muda utasema kama amekufa kweli ni lazima watakili tu hawana namna.
 
Middle East ni nchi Mbili tu ndio zilizokuwa zimejiandaa kwa vita Israel na Iran, Mataifa mengine ya middle East hayana majeshi au utayari wa kijeshi, no Wonder Israel na Iran zimekuwa zikiyanyoosha.

Qatar, UAE, Saudia ni mataifa tajiri sana but ni kama hayana Jeshi.

Israel na Marekani ndio kama zinawasaidia kushambuliwa makombora na kambi zake Ndani ya Iran.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Iran imeshanbulia kwa makombora kambi ya jeshi ya Marekani iliyopo Saudi Arabia
 
Nataka kuona ground invasion ya U.S na Israel hapo Iran bila hivyo watanipa mashaka makubwa mno juu ya utayari wao na resources walizo ziandaa kwa miezi mingi
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Makombora ya Iran yalivyopiga na kuharibu moja ya eneo huko Tel Aviv - Israel
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Makombora ya Iran yalivyopiga kwenye moja ya jengo huko Tel Aviv nchini Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…