Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kila akijaribu wanasayansi wake wanazamishwa ardhini
 
Khamenei ameuliwa brother, Iran wamekiri muda huu kwenye ukurasa wao wa kijeshi.
Nimetizama mtandao wao wa IRGC wanasema Khamenei yupo hai. Aisee hatujui nani anasema ukweli. Tusubiri zaidi.
 
Huu usiku haujawa wa kawaida kwa Israel. Greater Israel town imepasuka vibaya vibaya.
Huu usiku haukuwa mzuri kwa Israel.
 
Huu usiku haujawa wa kawaida kwa Israel. Greater Israel town imepasuka vibaya vibaya.
Huu usiku haukuwa mzuri kwa Israel.
Hata kwa Marekani kwa upinzani ambao anaupata kwa Iran sikuwahi kuuona hapo kabla.

Na hii ni siku ya kwanza tu! Sijui hali ikiendelea zaidi itakuwaje!
 
Houthi nao wamejiunga kwenye mashambulizi.
Hii vita kuna mtu anatema bungo mapema sana.
Miundombinu ya uwekezaji mingi imelengwa UAE na Bahrain. Sijui Iran wamekusudia nini kulenga hizo sehemu!?
Watu wasichokijua Iran kwao kufa siyo ishu! Kwao inatafsirika ni ibada kuwa umekufa shahidi na ndiyo maana hawafichi vifo.

Mapigano bado makali sana! Binafsi sikutarajia kama Iran angeleta upinzani kwa kiasi hiki ambapo hata masaa 24 bado hayajafika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…