Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Sasa watu wanajua kabisa kuwa ni wanawindwa ila wanaenda ilulu na kukaa kupiga sofa kama wako harusini utawatafisirije tofauti na wao kujitakia kufa?
 
Jibu swali sio kunijadili binafsi mkuu.Wewe unadhani humu ndani Kila mtu anajua sababu ? Wengine ni bendera fuata upepo.
kuna nyuzi zaidi ya mia za kuihusu hiyo vita,tafadhari tembelea nyuzi hizo uelimike zaida. Huu uzi unahusu uvamizi au tuseme oparesheni ya marekani na Israel huko iran,chanzo chake tumeshakijadili kitambo.
 
Hivi wale jamaa waliokuwa wanaandamana wiki kadhaa zilizopita hapo Iran wameenda wapi?
Huu ndio ulikuwa muda wa wao kuingia barabarani kuchukua nchi.
 
atakayekubali kushika usukani huko Iran na kuiendeleza vita atakuwa hajui thamani ya maisha yake!
 
Nimegundua kweli wewe ni mtu wa fasihi, huna ufahamu wa mambo ya kiusalama na geopolitics.

Kwa mfumo wa uongozi wa Irani jinsi ulivyo hii vita itategemea na aina yaAyatollah watakayempata. Vita bado ni mbichi.

Trump na Netanyahu wametoa tamko kwa raia wa Iran wajitokeze wapambane na serikali yao lakini ni kama Iran wameziba masikio.

Njia pekee ya kuuangusha utawala wa Iran ni kuingiza wanajeshi ardhini. Mbali na hapo hakuna matokeo yoyote watakayoyapata labda kumuua Khomein.

Kwa usiku wa jana Israel na Marekani hawakufanya shambulizi hata moja. Kuanzia saa 2 usiku hadi saa 8 Iran imefanya mashambulizi makubwa sana non stop bila ya kuwa na uongozi. Hofu yangu inakuja ni aina gani ya kiongozi watakayempata: Wakimpata laini ambaye viatu havimtoshi utakuwa ni ushindi wa Marekani na Israel. Ikiwa wakimpata mgumu hakutokuwa na mabadiliko yoyote-Again, njia sahihi ni kuingiza wanajeshi ardhini.
 
Walikua kabisa Ayatollah atakua kwenye office yake, na ndiyo Kombola la kwanza lilipoanzia.

Baada ya tu ya kuanza Mashambulizi, Trump anaongea kuwa ameleta msaada kama Wairan walivyoomba muda mrefu, then akasema ni wakati wao Sasa kuchukua Nchi mikono mwazo.

Baada ya saa chache tu naona Netenyahu anasema Kuna Viashilia vinavyoonesha Ayatollah ameuwawa....!

Sidhani kama Mashambulizi ya USA na Israel yataendelea, coz Lengo lao la kwanza ilikua kumuua Ayatollah.
 
Wamarekani wameteleza sana kumuua huyu mzee.
Naona Wairan wamekusanyika mtaani kuomboleza, nimeona watu wazima wanalia kama watoto wadogo. Nilikuwa sijui kama huyu mzee anapendwa na wananchi wa Iran kiasi hiki.
Wale wananchi wa Iran waliokuwa wakiandamana kupinga utawala wa Ayatollah wiki kadhaa zilizopita wako wapi?
Sioni wakiingia mtaani kusherehekea. Naona wananchi wanalia machozi ya majonzi.
Waliokuwa hawamtaki Ayatollah hawapo tena?
 
Hofu Yako ingekuwa kwenye mchkto wa kumpata huyo kiongozi usisimamiwe na Beberu linalo Nuka USA hapo ningekuelewa. Ila kama Beberu ndie aatasimamia mchakato baaasi irani litakuwa koloni la mu USA na Israel watajichotea resources watakavyo
Hammaz
 
 
Yuko Kwa Allah anakula mabikra 72
 

Attachments

  • 20260301_094932.jpg
    64.2 KB · Views: 12
Hofu Yako ingekuwa kwenye mchkto wa kumpata huyo kiongozi usisimamiwe na Beberu linalo Nuka USA hapo nimekuelewa. Ila kama Beberu ndie aatasimamia mchakato baaasi irani litakuwa koloni la mu USA na Israel watajichotea resources watakavyo
Hammaz
Kitu kama hicho hakipo kwa Iran.

Iran ni kama Russia wana ile majivuno kuwa sisi ni taifa la kale na ni taifa kubwa lenye historia kubwa hapa duniani. Hivyo, huwa hawapendi kuingiliwa kwenye mambo yao ya ndani hata kama wakiwa na migogoro wenyewe ndani.

Hakuna mahali ambapo Marekani amesimamia au kusimamia kupatikana kwa Ayatollah mwengine.
 
They can not do nothing.

Achana na kitu kinaitwa Mossad.

Netanyahu ndio ameshare taarifa mwanzo kabisa na picha za video za mwili wa Ayatollah na operation nzima ya kuuota kwenye kifusi, imagine this level of penetration
 
Source: Trust me bro
 
They can not do nothing.

Achana na kitu kinaitwa Mossad.

Netanyahu ndio ameshare taarifa mwanzo kabisa na picha za video za mwili wa Ayatollah na operation nzima ya kuuota kwenye kifusi, imagine this level of penetration
Washatangaza Jihad. Hivi unavyoongea wanajiandaa kwa mashambulizi makubwa dhidi ya Israel.
Trump ameshatangaza huko kwake yeye vita imeisha kusiwe na mashambulizi mengine.
Unadhani Iran wataruhusu hilo lipite!?
Huyo ni kiongozi wa dini.
 
They can not do nothing.

Achana na kitu kinaitwa Mossad.

Netanyahu ndio ameshare taarifa mwanzo kabisa na picha za video za mwili wa Ayatollah na operation nzima ya kuuota kwenye kifusi, imagine this level of penetration
Ziki wapi hizo picha mkuu, share link nikajionee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…