HatariNchi jirani zikijitia kichwa ngumu jeshi la ardhi lita deal nao ama proxies wa Iran.. kumbuka Iran ina proxy wa kutosha hapo middle east.. ndio maana wameona wanaweza kuwamudu hao waarabu wote ambao ni mapandikizi.
zako za alinachaHadithi za Abunuasi
Assets za viongozi wa USA na familia zao...wanakuambia Iran anapiga Hotel tu huko dubai
Kumuua Trump hilo sijui ila balozi za Marekani nchini Pakistan na Iraq zimepigwa kibiriti.Kiasi wanataka wamuue Trump ?
UAE mpaka Saudi Kamchoka, kifupi jamaa hawapendwi hata na waarabu wenzao, wameruhusu nchi yao kuwa kichaka cha proxy wars zote, pia issue aliyofanya Sudan wengi hawajapenda, ukiangalia kila sehemu wanazopiga Iran hapo unaskia ni CIA ama Mossad Building.Iran UAE imemkosea nini?
Mbona anaitwanga kuliko anavyoitwanga Israel??
Bandari ya Zared imepigwa kombora muda si mrefu Abu Dhabi.
Iran UAE imemkosea nini?
Mbona anaitwanga kuliko anavyoitwanga Israel??
Bandari ya Zared imepigwa kombora muda si mrefu Abu Dhabi.
Iran ana target kila kitega uchumi hapo UAE. Na kila kambi inaguswa.Wanatuambia iran anapiga hotel tu huko dubai Nyoko sana!
Wewe jamaa sijui unakwama wapi!Mkuu hao Warusi na Wachina ni matapeli.
Kwanza usiwataje maana wanatia hasira watu wanafiki.
Iran yeye kajitahidi kwa sehemu yake. Lakini bila washirika Iran ni kama wale Waandamanaji wa Mo29 mbele ya serikali.
Iran hana uchumi.
Hana Teknolojia
Hana ushawishi
Hana silaha kubwa kama USA.
Niambie anashindaje?
Ukishakuwa na Pesa unaweza kununua taarifa yoyote, popote muda wowote.
Unafikiri Kama Ayatollah ameuawa unafikiri location yake iifikaje kwa hao mazayuni?
Kama taarifa ya kiongozi mkubwa kama Ayatollah inavuja no taarifa gani nyingine ipo Salama?
Wewe ukiona Marekani anabweka Sana ujue ameshajua G Spot ya Adui yake.
Hofu yangu ni vita ikiwa ya muda mrefu tupo tayari kama nchi kukabiliana na hali itakayo jitokeza kiuchumi maana mashambulizi ya meli yameanza huko.Wewe jamaa sijui unakwama wapi!
Iran ipo katika eneo lenye umuhimu mkubwa sana la kimkakati katika buiashara ya dunia. Ina starit of Hormuz takribani 25% ya mafuta ya dunia yanapita hapo. Iran ni kiunganishi ya Asia ya Kusini (India na Pakistan), Asia ya kati, mashariki ya kati na Ulaya ya mashariki.
Pia, ni Iran ni International North-South Transport Corridor, ambapo njia hii huunganisha India, Iran, Urusi hadi Ulaya kama mbadala wa mfereji wa Suez. Hii inafanya Iran kuwa njia ya mkato ya kibiashara.
China ina maslahi makubwa sana hapo kwa Iran.
Tangu kuanza kwa vita mpaka sasa Iran anatumia satellite ya kijeshi ya China. Hadi makombora China anampatia Iran.
Jinsi Marekani alivyokuwa anajiandaa kwa hii miezi ya karibuni nilijua Iran inaenda kufanywa kitu dunia haijawahi ona mpaka sasa sijaona utofauti wa 12 days war labda kwa Iran kuongeza maeneo ya kushambulia ila kwa Israel na Marekani bado kwa nguvu walizo kusanya labda kama hali ya vita itabadilika huko mbele.Super power wa middle east kaonekana, US alidhani Iran inaogopa jina, US ni simba mzee, meno hana...
Iran inapiga middle east yote tena makambi ya US na ina violate anga za majirani na hakuna kitu wanafanya, na hakuna kitu watafanya..
Kuna haja gani US kuweka makambi ya kijeshi kwenye hizo nchi? nini maana ya kuingia mikataba na hizo nchi kuwapatia ulinzi.
Tazama sasa UAE inapigwa mfululizo, US ni tapeli. Uwezo wa kuwalinda washirika wake hana, baada ya hii ita nadhani nchi za gulf zitaona Trump amewaponza.
Wewe jamaa sijui unakwama wapi!
Iran ipo katika eneo lenye umuhimu mkubwa sana la kimkakati katika buiashara ya dunia. Ina starit of Hormuz takribani 25% ya mafuta ya dunia yanapita hapo. Iran ni kiunganishi ya Asia ya Kusini (India na Pakistan), Asia ya kati, mashariki ya kati na Ulaya ya mashariki.
Pia, ni Iran ni International North-South Transport Corridor, ambapo njia hii huunganisha India, Iran, Urusi hadi Ulaya kama mbadala wa mfereji wa Suez. Hii inafanya Iran kuwa njia ya mkato ya kibiashara.
China ina maslahi makubwa sana hapo kwa Iran.
Tangu kuanza kwa vita mpaka sasa Iran anatumia satellite ya kijeshi ya China. Hadi makombora China anampatia Iran.
Niliwaambia watu hapa, hayo mameli kwa dunia ya sasa ni kwa ajili ya show off...Jinsi Marekani alivyokuwa anajiandaa kwa hii miezi ya karibuni nilijua Iran inaenda kufanywa kitu dunia haijawahi ona mpaka sasa sijaona utofauti wa 12 days war labda kwa Iran kuongeza maeneo ya kushambulia ila kwa Israel na Marekani bado kwa nguvu walizo kusanya labda kama hali ya vita itabadilika huko mbele.
Kumuua mzee Ayatollah aliyekuwa mgonjwa anaye subiri tu kufa ni sawa na kupiga bomu mochwari na kujisifu umeua ubaya zaidi jamaa alisema vaandaliwe successor wake akiwa hai kwa ufupi ni kama alijua kinachokuja juu yake hakuwa muoga kwa ule umri wake
Lawama zote zitakwenda kwa Trump zaidi kuliko Netanyahu.Hofu yangu ni vita ikiwa ya muda mrefu tupo tayari kama nchi kukabiliana na hali itakayo jitokeza kiuchumi maana mashambulizi ya meli yameanza huko.
Na Marekani yupo tayari kuona anapigishwa vita vya muda mrefu ?