City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Dah hata siku 2 hazijaisha washatema bungo kweli iran si rizikiπ₯π₯π₯π₯
Trump: Iran wanataka mazungumzo, tutakua tayari
Huyo atatandikwa na Houthis. Hana chochote.π₯π₯π₯π₯
Saudi Arabia crown prince MBS: ameidhinisha mashambulizi dhidi ya Iran pale watapoona inafaa
Mbona updates zako ni za upande mmoja?π₯π₯π₯π₯
Israel imeshambulia kwa makombora kambi ya Zanjan