City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Fatilia kwa utulivu. Natoa updates zote.Mbona updates zako ni za upande mmoja?
Ndio zake, hapo anajitekenya na kucheka mwenyewe..π₯π₯π₯π₯
Trump: Iran wanataka mazungumzo, tutakua tayari
Ukitoa za Iran unaweza kulipukiwa na simu usoni. Unajua kwa nini ghafla smartphone zote duniani zinabattery ambazo hazichomoki kama viswaswadu.Mbona updates zako ni za upande mmoja?
Kasema waziri wa mambo ya nje wa Iran ndio amesema wanataka wazungumze. TusubiriNdio zake, hapo anajitekenya na kucheka mwenyewe..
Hapo anayeomba mazungumzo ni Trump.. π π π
Dini gani π€£π€£π€£π₯π₯π₯π₯
Esmail Baghaei(msemaji wa wizara ya mambo ya nje): kuuwawa kwa khamenei ni uhalifu wa kimataifa, itasababisha vita ya kidini
Dah kinyonge sanaIranian Police Chief: The enemy is exploiting artificial intelligence to influence people's consciousness and thoughts
Trump anatafuta namna ya kujitoa kwenye hio vita.. Kabla udhaifu wao hujaonekana wa vifaa vya kijeshi pamoja na uwezo wao wa kijeshi kitu kitakachopelekea kuingia kwenye mgogoro unao weza pelekea US uchumi wake ukayumba.Kasema waziri wa mambo ya nje wa Iran ndio amesema wanataka wazungumze. Tusubiri
Ngoja tusubiri. Lakini hizi paragraph za mwisho umeweka chumviTrump anatafuta namna ya kujitoa kwenye hio vita.. Kabla udhaifu wao hujaonekana wa vifaa vya kijeshi pamoja na uwezo wao wa kijeshi kitu kitakachopelekea kuingia kwenye mgogoro unao weza pelekea US uchumi wake ukayumba.
Na kipigo cha safari hii ni heavy, tena ambae ameanza kuomba cease-fire hapo ni Netanyahu maana yeye ndiye mhanga mkubwa, maana Tel Aviv inazidi kuchakaa.
Ukitaka kufahamu hilo, US kapigwa kambi zake zote middle east na askari wameuawa lakini anaonekana anahitaji mazungumzo na Iran.
propaganda unajibu nini?JIbu hoja au USA hajaziamishia silaha zake Cyprus.Mamayo!
Kwa kweli watanzania uwezo wetu wa kuchanganua huwa ni wa kipekee sana.Trump anatafuta namna ya kujitoa kwenye hio vita.. Kabla udhaifu wao hujaonekana wa vifaa vya kijeshi pamoja na uwezo wao wa kijeshi kitu kitakachopelekea kuingia kwenye mgogoro unao weza pelekea US uchumi wake ukayumba.
Na kipigo cha safari hii ni heavy, tena ambae ameanza kuomba cease-fire hapo ni Netanyahu maana yeye ndiye mhanga mkubwa, maana Tel Aviv inazidi kuchakaa.
Ukitaka kufahamu hilo, US kapigwa kambi zake zote middle east na askari wameuawa lakini anaonekana anahitaji mazungumzo na Iran.
UNARAHISISHA SANA YE KASHINDWA WE MSIKIA UDAKU UNGE TULIA TU KAKAIran anatakiwa ajitoe kimasomaso bila huruma.
Aichome Israel
Azamishe Yale madude Baharini
Atoe kichapo heavy Kwa majirani zake wanafiki.
Kisha asubiri USA mwenyewe hapo mazoea yataisha.
Tatizo Wairan wanamawazo kama haya ila wanasita.
Ahadi zao za kutoa somo wanaahidi lakini wanasita sita.
Marekani anatabia za kihuni, anakutafutia angle, ukionyesha kumzidi kete anasitisha vita. Hivyohivyo mpaka Iran atajikuta amemwagwa