Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel imeshambulia kwa makombora kambi ya faraja huko gisha
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel imeshambulia kwa makombora stesheni ya faraja kusini mwa Tehran eneo la Shahr e Ray. Mlipuko mkubwa
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Trump: tumeshambulia na kuharibu meli 9 za jeshi la Iran ambazo baadhi yake ni kubwa. Tunafatilia ili kushambulia zilizobaki. Muda si mrefu zitaonekana zikielea
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Video footage: Israel inashambulia kwa makombora eneo la wizara ya ulinzi seyed Khandan
 

Attachments

  • 2026-03-01_20-53-08_0.mp4
    705 KB
Kama UK anaingia wanataka kufanya iwe desert storm 2.0

Kwa Iran sidhani kama wanaweza, maana pasipo kuweka askari juu ya ardhi, wasahau. Na wakiweka askari hawawezi toboa hio vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…