Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Najibu hivi:
Kuhusu kuzijua siasa za mashariki ya kati haibadili ukweli kuwa kwa current situation Irani hapigwi, tena anapigwa vibaya mno.
Katika medani za ulinzi na usalama inapofikia adui anakuwa na uwezo wa kupiga makamanda wako jinsi anavyotaka, inafikia hatua mpaka kiongozi mkuu wa nchi anauwawa, halafu unakuwa huna uwezo wa kujibu sawa na ulivyofanyiwa badala yake unaanza kutangatanga unatafuta kupiga sehemu unazoweza. That's simply you're outsmarted.

Kuhusu hayo unayosema sijui nani aliomba au anaomba mazungumzo ni habari ambazo hazitoki kwenye vyanzo rasmi, na wala hazithibitiki waziwazi, kama una chanzo rasmi kiweke hapa, vinginevyo hizo ni hearsay tu.

Kuhusu swala la Israel na US wanaonekana hawaendi kufanikiwa, kwanza kabisa anza kutuambia wewe unajua malengo yao makuu ni yapi?? ili tuone wanavyofeli.

Punguza mahaba na stories ambazo hazina vyanzo vya kuaminika.
 
Sijazungumzia kushambuliwa kwa hiyo Erbil Airbase bali hiyo picha iliyotumika kuelezea tukio.
 
1- Regime change.
2-Kusitisha mpango wa nuclear wa Iran.
3-Kupunguza uwezo wa Iran kumiliki makombora.
Regime change tayari itafanyika kwa sababu tayari kiongozi mkuu ameuawa. Akija mwingine akiwa na moto uleule naye wanadeal naye.

Kuhusu kusitisha mpango wa Nuclear mpaka sasa amefanya kazi kubwa imekuwa ikifanyika kwa muda mrefu na ni ukweli Iran huwa anapunguzwa kasi ya kufanikisha mipango ya nuclear.

Kumbuka ni ndoto ya Iran kuifuta Israel kwa muda mrefu lkn hajawahi kufanikiwa badala yake Israel ana flourish tu, anajichukulia maeneo.
 
Sijazungumzia kushambuliwa kwa hiyo Erbil Airbase bali hiyo picha iliyotumika kuelezea tukio.
Ndio picha unatoa source ya uhakika, unafkiri site kama Reuters ama Al Jazeera ama site kubwa wataweka picha ya Ai? Huwezi jua kama ni Ai ama Sio Ai ila unaamini source ya Taarifa.

Pia mwenyewe Fanya mlinganisho ukiona kitu kimeripotiwa na watu kadhaa ujue asilimia kubwa ni kweli.
 
Akikubishia na hapa basi mpuuze tu huyo.
 
Waarabu wa gulf states ni watu wa hovyo sana.. akili hawana. Ndio maana Iran anayapiga hayo majinga..
Yamekali sunni na shia, Iran anawaambia adui wetu ni Israel, yamekalia sunni na shia...

Kwenye vita ya Gaza, Iran na Yemen ndio imejitoa wazi kwamba ipo pamoja na Gaza kivitendo. Hayo mas3ng3 mengine yanakula tende na kuvaa vilemba...
 
Wewe hujui chochote kuhusu siasa za mashariki ya kati..
Ili kutopoteza nguvu na muda wangu endelea tu kupata updates..
The truth always speaks by itself.

Haiwezekani mtu anakuwa anaanza kukupiga tena anakubonda kwelikweli, halafu anakuomba mazungumzo na wewe kwa akili timamu unaona eti kashindwa.
Mkuu kuwa serious hata kidogo.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel imeshambulia kwa makombora kambi ya mizinga ya Imam Alli eneo la khoramabad
 

UAE withdraws ambassador from Iran, closes embassy over attacks​

The United Arab Emirates is closing its embassy in Iran and recalling its ambassador following the barrage of Iranian attacks on its soil, according to a statement from the foreign ministry.

Israel ni masterplan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…