Israel: Netanyahu amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi,Yoav Gallant

Ndio uwezo wa wazayuni ulipoishia hapo na huo ndio ushindi wao ila yale alotutangazia paka yakifikiwa uje uniambie
Kwa hiyo Hamas kushindwa hadi kila Mpalestina pale Mashariki ya Kati aliwe kichwa? Mbona ni hatari sana.

Kwa sisi wachambuzi makini, ile wiki moja tu ya mwanzo mtikasi ulipoanza katika harakati za kuwafurusha Hamas Israeli, tulijua ngoma ni nzito kwa Palestina na Hamas wote.

Adui anakutafuta, wewe unajificha? Hapo ni suala la muda tu, mtu analiwa kichwa.
 
Operation inaendelea.
Kamanda mkuu wa Hezbollah aliyekuwa na ugangwe kafa akipiga drone kwa fimbo🥹

Mkuu wa Hamas kafia nyumba za wageni Iran akizungukwa na ulinzi mkali ila haukumsaidia.
Ila bado yote hayo hayajafanya hamas na hizbullah kukata tamaa kama alivyokata paka kwa Ben operation inakua na muda gani
 
Ngoma ngumu kwa hamas hili halina ubishi ila israhell hatoboiii
 
Wana Israel wa Tukuyu Mbeya watakwambia hiyo ni 'strategy'. Daaaaah Israel inakuzwa sana
 
Wana Israel wa Tukuyu Mbeya watakwambia hiyo ni 'strategy'. Daaaaah Israel inakuzwa sana
Watakwambia wazayuni wamepiga hesabu zao hapo israhell ukiisikia hapa jf au bbc utaogopaaaa
 
Sina la kusema tena, mkuu. Tukubaliane kutokubaliana. Muda utasema vizuri. Kesho Trump, baada ya ushindi, anatoa maelekezo ya kukamilisha mara moja chokochoko za hapo Mashariki ya Kati.

Jamaa anakuja na kasi ya 6G+
Unahisi dt ataja na mpya gani na hapo kuikamilisha choko choko sijakuelewa
 
Katika suala ambalo halitakuja kutokea ni israhell kuishinda hamas paka mwanasiasa na awe makini mgambo wake wasije kimbia uwanja wa vita tuuu israhell ukihadithiwa na biibisii au baadhi ya wachafuzi hapa jf unaweza ukakufa
Ushindi upi unaongelea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…