Israel: Netanyahu amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi,Yoav Gallant

Israel: Netanyahu amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi,Yoav Gallant

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Netanyahu kamfukuza kazi waziri wa ulinzi Yoav Gallant kutoka wadhifa wake wameshindwa kuelewana Gallant, kamwambia Netanyahu vita tumeshindwa

Inakisiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa sasa wa Israel Israel Katz atachukua nafasi yake.
===============
Netanyahu dismissed defense minister Yoav Gallant from his position.

It is being speculated that current Israeli Foreign Minister Israel Katz will replace him.

View: https://x.com/currentreport1/status/1853860552524874235?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

View: https://x.com/aryjeay/status/1853862899527368837?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Screenshot_2024-11-05-21-15-31-01_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Mungu ni mkubwa sana , kwanza gantz kamwambia ukweli akaamua kuachana na upumbavu akajiuzulu
Sasshivi gallant ambaye alishampinga mara nyingi hadharani na kumuita netanyahu muongo, wote tulijua kama anavizia kumfukuza ,ila haitobadilisha kitu kama netanyahu ni muongo na kafeli tayari ,anatapatapa tu
 
Mungu wa waisraeli ni mkuu (supremacy God ) sio mungu wa waislamu ambaye ni mkubwa ( big,huge, Volume) in high size , ukiwa mkubwa huna la maana ndio maana Mungu wa waislamu anashindwa kila jambo ,Mungu wa waisraeli ni mkuu ana mamlaka na utiisho

USSR
 
Halafu zikiwa zimesalia siku 4 kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani, hatua hii ya Marekani inafikirisha sana.

Hongera sana Trump kwa kumshinda Kamala Harris. Sasa kazi kwako kuifuta NATO Ukreni na kuleta amani pale Mashariki ya Kati.
 
Katika suala ambalo halitakuja kutokea ni israhell kuishinda hamas paka mwanasiasa na awe makini mgambo wake wasije kimbia uwanja wa vita tuuu israhell ukihadithiwa na biibisii au baadhi ya wachafuzi hapa jf unaweza ukakufa
 
Mungu wa waisraeli ni mkuu (supremacy God ) sio mungu wa waislamu ambaye ni mkubwa ( big,huge, Volume) in high size , ukiwa mkubwa huna la maana ndio maana Mungu wa waislamu anashindwa kila jambo ,Mungu wa waisraeli ni mkuu ana mamlaka na utiisho

USSR
Huyo unaemwita mungu wa israhell alimuua na mungu wako
 
Mungu wa waisraeli ni mkuu (supremacy God ) sio mungu wa waislamu ambaye ni mkubwa ( big,huge, Volume) in high size , ukiwa mkubwa huna la maana ndio maana Mungu wa waislamu anashindwa kila jambo ,Mungu wa waisraeli ni mkuu ana mamlaka na utiisho

USSR
Kwa nyie wakristo mna haki ya kusema hivyo maana kama hadi waliweza kumsulubu mungu wenu yesu, mna kila sababu ya kuwatukuza ,ila mungu wa wauslamu ni mkubwa na wa haki ndio maana unaona pamoja na masilaha na uongo wao wote ila wameshindwa kuvunja imani ya waislamu kwa mungu wao ,na hadi wazungu wengi wanaishia kuupenda na kuukubali uislamu kutokana na imani thabiti ambayo mungu wetu ametupa
Ukweli utabaki kuwa ukweli na uongo utaendelea kuwa uongo
 
Back
Top Bottom