Israel ni nchi ya Wayahudi - Netanyahu

Nisichoelewa hapa issue ni dini, makabila au nn hasa? Kwani Abraham wakati anapewa Kanaani hakukuta jamii za watu wengine?
Alizikuta ila aliambiwa awaue wote.

Ni binadamu wote tuna utashi. Tuna ubinadamu, Ukiona, mwanamke, msichana, mtoto, mzee mgonjwa unaumuacha. Kumpiga Mzee unatulia.
 
Kabla ya kwenda Misiri walitokea kwenye nchi hiyohiyo inayosemwa na Netanyau na walikwenda Misiri kwa kuchukuliwa na Yusufu ambaye aliuzwa Misiri na waishimail waliyemnunua kwa ndugu zake.
Kwa hiyo huko kuporwa Ardhi Kwa mkulima wa Kiyahudi na Waarabu ilitoka wapi wakati walishaenda Misri? Acheni fix
 
Ugomvi ukizidi, Mungu aliyempa Ibrahimu aridhi hii, ataamua ugomvi
Alipompa alikuwa si kaumba haukukuwa na watu .au hujui aliagiza wawaue waliowakuta .huyo ni mungu mwema anaeua ??
 
Alizikuta ila aliambiwa awaue wote.

Ni binadamu wote tuna utashi. Tuna ubinadamu, Ukiona, mwanamke, msichana, mtoto, mzee mgonjwa unaumuacha. Kumpiga Mzee unatulia.
Kwaiyo aliambiwa aue ili pawe pake?
 
Kwa hiyo huko kuporwa Ardhi Kwa mkulima wa Kiyahudi na Waarabu ilitoka wapi wakati walishaenda Misri? Acheni fix
Unaonekana ni mvivu wa kufuatilia historia, mambo ya utumwani Misri yalitokea huko zamani miaka zaidi ya 1000 BC (Kabla ya Kristo). Huko kuporwa kwa ardhi na watawala wa Kiarabu ni mika 600 AD karne ya 7 hivi. Wakati Uislamu unaenezwa ulienezwa kwa upanga hivyo kwakuwa Wayahudi ni watu wa msimamo na dini yao wengi walikimbia nchi kutokana na mateso na ukandamizaji wa tawala hizo za Kiarabu.
Waarabu walijenga msikiti wa al Aqsa kwenye msingi wa hekalu la Sulemani. na kwahivyo walijimilikisha urithi wa Wayahudi isivyo halali, waliuwa watu wengi waliokataa kujiunga na dini ya kiislamu, inakadiriwa ni zaidi ya watu milioni 200 waliuwawa kwa miaka yote hiyo kuanzia karne ya 7 mpaka ya 19 mashariki ya kati na ulaya, na hawa waliuwawa kwa kukatwa shingo kwa upnga.
 
Tumfufue Musa(Prophet Moses),yeye ndio anajua ukweli wa hilo eneo[emoji38][emoji38]
 
This is it🀝🀝🀝 case closed!
 
KhaaaaaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Unajua Musa aliletwa Afrika ikiwa ya watu weusi mtoto. Walikaa Afrika nchi za weusi miaka 400 kama watumwa. Akaishi miaka 40 Afrika. Kila kitu utamaduni, siasa michezo sayansi vyote walifundiswa Afrika. Wasomi wote Wagiriki, wote duniani walifundishwa Afrika.

Yesu alikuwa mkimbizi Afrika kumkimbiia Herod.

Mohamed alikuwa mkimbizi Afrika kunusuru maisha yake Ethiopia.

Ila hakuwa na huruma baada ya kunusurika. Karibu nusu ya Ethiopia ikawa Islam, Sudan West Afrika kwa upanga, Jambia, shinikizo, kodi.
 
Wayahudi wamechukua kila kitu Afrika 2000 years ago. Wakati wa Islam Empire Alipozaliwa Muhamed. Uislamu 1333 iliyopita.
 
Kunukuu njoo youtube inbox. Njoo inbox utapata elimu nzuri tu kuhusu dunia.
 
Netanyahu aache January janja. Babu zao walipotoka masri utumwani.wakakoswa koswa na firauni pale kwenye bahari. Walipokosea njia.wakaenda njia ya baharini mungu akawasaidia kwa kuachanisha bahari wakamkwepa firauni.na firauni akafa na majeshi yake.baada ya hapo walimsumbua sana musa mpaka musa anakufa.anachukua uongozi yoshua.anazunguka zunguka nao kwa miaka 40.wanavamia nchi za watu.nchi waliyoahidiwa sio hapo israel.hawajawahi kufika kwenye hyo nchi sababu ya uj
 
Badala mfikirie solution mnajadili matatizo. Hakuna wa kumuamisha Israel hapo alipo, mtawapeleka wapi? Hakuna sayari inayokalika zaidi ya Dunia. Na Duniani hakuna ardhi isiyo na mwenyewe.
Mnachojadili hakina tija, kwa maana hakileti suluhu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…