Israel wanaingia Gaza mjini kati usiku wa leo

Israel wanaingia Gaza mjini kati usiku wa leo

Ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sana
 
Kuna kipindi kimoja kinarushwa na Al jazeera kinaitwa Witness. Nimekiona jana nimeumia sana. Watoto wanateseka sana kwenye hiyo vita. Mungu asaidie haya yaishe.
Vita haina macho hayo ndiyo matokeo yake
 
Kuna kipindi kimoja kinarushwa na Al jazeera kinaitwa Witness. Nimekiona jana nimeumia sana. Watoto wanateseka sana kwenye hiyo vita. Mungu asaidie haya yaishe.
Vita hii inasikitisha sana. Wanaoumia ni watu wasio na hatia ila mimi nawalaumi sana HAMAS maana njia wanayotumia sio sahihi japo ni kweli wanadai haki yao. Ila hawakupaswa kufanya walilofanua tarehe 7 October. Halafu wanakimbia kujificha kwa Raia na kuanza kutafuta huruma kwa Ulimwengu mzima. This is Sad
 
Kumbe wewe Mkenya wala sishangai nyie mna roho mbaya mnoo nilikuwa najuuliza kuna Mtanzania wa hivi kumbe sijui Jaruo au mkikuyu. Endelea kushangilia vifo vya Gaza.

Ahha wapi mazombi ya kidini wala hamna uzalendo au Utanzania au chochote, huwa mko useless sana mpo radhi muarabu achukue kila kitu kisa dini, leo mpo na mikanzu yenu mnashabikia HAMAS kuteka Watanganyika, yaani mtu akishajiunga kwenye hiyo dini ndio tushampoteza.
 
Baada ya kuigawa Gaza vipande viwili, sasa magaidi yaliachwa kaskazini, Israel wamekua wakiyabamiza bila upinzani wa maana na tayari kuingia mjini kati usiku wa leo.....
=================

Israeli troops could enter Gaza City later today, according to Israeli media, raising the prospect of street fighting with Hamas terrorists hiding in a vast network of tunnels.

Israel Defence Forces spokesman Rear-Admiral Daniel Hagari described the war as reaching a “significant stage”, with Israeli troops also now having reached the coast south of Gaza City.

“Now there exists a south Gaza and a north Gaza,” Hagari said, adding that a route remained open for civilians to flee to the south.
Israeli troops unleashed another overnight bombardment from land, sea and air as Binyamin Netanyahu defied calls for a ceasefire and vowed to continue fighting until hostages held by Hamas are freed.


Explosions lit up the sky above the Palestinian territory from a heavy wave of attacks after local internet and mobile services were completely severed on Sunday.

Siku 4 zilizopita IDF walitamka wameshauzingira Gaza kikamilifu.Baadae Hamas wakasema wapo pembezoni sana mpaka nikasema huenda Hamas hawakuona.Leo tena Israel wanasema kama juzi.Maneno ya Hamas yatakuwa yana mashiko zaidi.
 
Wewe punguania kabisa ushabiki mandazi unajiona Muisrael mweusi wa Rombo.

Msikilize Muisrael halisi nyie bakieni na ushabiki mandazi watoto wanauliwa eti mnashangilia.
JEWISH SON OF A HOLOCAUST SURVIVORS SPEAKS OUT AGAINST THE GENOCIDE IN GAZA

“I’m Jewish, I’m Israeli, my parents were the only survivors of their families from the Holocaust.

I’m not going to support a genocide , am I ?”
Huyo mwisrael anayewasapoti Hamas hajielewi, bila jeshi imara la Israel hakuna Israel
 
Siku 4 zilizopita IDF walitamka wameshauzingira Gaza kikamilifu.Baadae Hamas wakasema wapo pembezoni sana mpaka nikasema huenda Hamas hawakuona.Leo tena Israel wanasema kama juzi.Maneno ya Hamas yatakuwa yana mashiko zaidi.

Tulia sheikh ufuatilie hizi taarifa, leo IDF wanasema wanaelekea mjini kati, suala la kuzingira mji walilikamilisha....mlisema propaganda, endeleeni tu hapo.
 
Ua hayo MAGAIDI mwaga sumu ua hamas na washirika wake.


Israel imwage sumu iue Hadi Mendes .

Sitaki kuona hata Mendes mwenye asili ya Gaza

Ndio maana hata kwenye mipira mnawachukia waarabu na mnaombea watolewe kwenye mashindano

Mtawachukia waarabu, mtaupiga vita uislamu lakini chuki zenu hazitafanikiwa, ni kujiumiza na kujipa presha, poleni sana
 
Hivi Gaza kuna Gaza Mjini na Gaza vijini.
Angalia hiyo video utatuambia hapo ni Gaza mjini au Gaza Kijijini.
HAMAS VIDEO SHOWING ITS SOLDIERS FIGHTING POINT BLANK RANGE WITH ISRAELI IOF SOLDIERS INSIDE GAZA CITY
Hii vita israel inakutana na resistance kali, sio kirahisi.
 
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. (Quran)
 
Hamas wanatumia picha za watoto kutafuta huruma za ulimwengu

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Majamaa Yana roho ngumu na ya kikatili ajabu, haiwezekani nikiwa kama mzazi napewa onyo kwamba hameni hapo muda sio mrefu tunashambulia kwa mabomu alafu nakomaa hapo hapo kisa tu nimeambiwa na Hamas nisiondoke Kisha yakitokea maafa nabeba vitoto vyangu juu juu kuwaonyesha waandishi wa habari, ni upumbavu kabisa.

Nawasifu IDF wanafanya kazi kwa weledi sana sio Mrusi kule Ukraine Wala Hizbollah, Hamas wanaotoa taarifa zao kabla ya kuanza mashambulizi ila IDF wanafanya tena sio mara moja.
 
Kuna kipindi kimoja kinarushwa na Al jazeera kinaitwa Witness. Nimekiona jana nimeumia sana. Watoto wanateseka sana kwenye hiyo vita. Mungu asaidie haya yaishe.
Usiiamini sana AlJazeera Ni wapumbavu sana wana rusha propaganda za Hamas tu.. na kuiponda mno kupitiliza Israel even Mateka hawazungumzii kabisa wao kila siku wanauliwa tu raia watoto Hospital no Mjeshi yeyote aliyekufa upande wa Hamas Jiulize! wao wanasema raia tu ndio wanauliwa hadi leo wanasema lile bomu hospital ya Anglican iliua wagonjwa 500 na hawajawahi kanusha uongo ule
 
Ua hayo MAGAIDI mwaga sumu ua hamas na washirika wake.


Israel imwage sumu iue Hadi Mendes .

Sitaki kuona hata Mendes mwenye asili ya Gaza
nenda ukamwage sumu wewe unasubiri nini maana wenzio huko wanajuta kuingia vitani
 
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. (Quran)
Huyu anaeongea apa na kupandikiza chuki ni nani? Na anamtaja na mungu kabisa
 
Ndio aliemuumba your mother.
Allah hajawahi umba ata nzi yeye mwenyewe Aya kibao anamuomba Mungu

Allah anaomba kwa kusema
... Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize!
 
Back
Top Bottom