Hao hamasi wanatumia watu kama ngao na wanajificha kwenye majengo ya kijamii. Niambie Hilo Bomu utakalotuma lichague hamasi halafu Liache raia.Sijui kama una familia au unaangalia habari kweli unaamini hamna vifo vya watoto Gaza ni propoganda daah! Huo ulioleta ndiyo ushahidi wako .