Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Nenda Oman na Saudia uone waarabu weusi wanavyo ishi maisha bora tena ndani ya Oman wako mpaka serikalini na ni viongozi wakubwa.
Hata mfarume wa Oman aliye pita alikuwa ni Chotara wa kiarabu na kiafrika.
Sasa ww nenda Israel uone hao Wayahudi weusi wanavyo ishi wanaishi kwenye makambi kama wakimbizi.
Huyu unaemjibu ana chuki mbaya sana, sijui huwa anajisikiaje kufanya hivyo