Hv mnapenda kusema WaTanzania eti wanaroho nzuri huu mtazamo daima umenishangaza, hv jamii inayopenda ushirikina inawezaje kuwa na roho nzuri?
Unafiki, uwongo, chuki ya mafanikio ya mtu mwingine, ni heri mtu ambaye ni muwazi na Hana mambo ya chinichini kuliko mtu mwenye mambo ya chinichini na anajifanya mwema...
Ili tutoke hapa tulipo ni muhimu kuanzia Kukubali kuwa "WATANZANIA SIO WATU WEMA KAMA TUNAVYOJILISHA UPEPO KILA SIKU..."
Mkenya atakiwa Bora Kwa sababu kama ni adui anajionesha kama ni mwema anajipambanua, ni juu Yako Sasa...
Ila huku kwingine mtu anakuchekea na kukuonesha anakupenda kumbe Yeye ndio chanzo Cha mabaya na magumu yote unayopitia...