bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Ndiyo, shule mimi na wewe tulienda kusomea ujinga na wewe ulikuwa unapata A ya ujinga [emoji4]Wapi nimesema "kwa ajili ya Watanzania peke yao"?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Maawee Nyerere.Ndiyo, shule mimi na wewe tulienda kusomea ujinga na wewe ulikuwa unapata A ya ujinga [emoji4]
Nawashauri Israel wafanye extinction ya wanaume wote Gaza wabakie wanawake ambao wakizaa mtoto wa kume wanam-Kolimba.......tabu imeisha!Kawaida hiyo.
Myahudi kishachezea kichapo ambacho hajawahi kupokea maisha yake yote.
Hata wafanye nini, ushindi bado ni wa Palestina, kwa muda mchache sana wameweza kukishikilia tena kipande cha nchi yao mpaka leo hii. japo kidogo lakini wamekichukuwa tena.
Leo alfajiri wamesukuma moto mwingine kutokea Lebanon.
hapana yuko na mabikra 72.Duh now yupo kuzimuni dah Zirail si watu wazuri🤣😂
Pole lakini ndugu zako waliyataka na wanapewa haki yao, kuna kipigo cha haja kinaendelea na kuna njaa inawakuta muda si mrefu,watapukutika kama nzige kwa ukosefu wa chakula pia.Na wewe pole zaidi, mabwana zako wa
kizayuni hiki ndicho kinawakuta:
Onyo, clip inatisha kutazama, kama huna moyo usitazame:
View attachment 2778448
anawachakata 🤣😂hapana yuko na mabikra 72.
Hakuna watu wanafiki kama waarabu,sasa hivi wanawaangalia wenzao wanavyochezeshwa ngoma ya lizombe na Bibi huku wao wakiwa wanatafuna tende na harua.Kwann waarabu wasiwachukue ndugu zao wapalestina mbona uarabuni Pana ardhi tele ya kutosha kuliko kuwaacha wauwawe
nyiny hamas walipoua watu ile jumamos mlikuwa mnashangilia ss hv mnajifanya hampend migogoro , unafiki mbaya sanaSi wale wale wanaoshabikia udwanzi hata hapa Tz kwa sababu tu wako madarakani.
Wala usiwashangae
kauli hz ilibid mziseme siku yq jmos , hamas alipovamia Israel na kuuq raia wema waliokuwa kwenye starehe zao , ila hapa mnajifanya wanafiki tu baada ya kuona upepo mbayaUtu umeisha watu wanaposhangilia vifo vya wengine kwa misingi ya dini walizoletewa na watesi wao. Smh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Solution ni mbili either waungane wawe nchi moja au wapalestina watawanywe kwenye nchi mbalimbali za kiarabu wakaanze upya maisha.
Yaani nchi ya Palestine isiwepo.
unajuwa kuwa wapalestina ndo wanawatunza na kuwalisha HAMAS ?HAMAS ni kundi la kigaidi.
Two mistakes wont correct the first mistake
CHildren of Israel and Palestines deserve protection. I believe the huntungdown the terrorists must also abstain the children phenomenum in the warzones.
kawastukize tena [emoji23]Nguvu hua inatoka marekan wakishtukizwa mbona wepesi tu
Issue hapa ni watoto.unajuwa kuwa wapalestina ndo wanawatunza na kuwalisha HAMAS ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haelew huyo mvaa vibukta na dela juuHivi ni vita mzee, reality not a movie, kule kwenye muvi ndio huwa tunaona magaidi yakishambulia na kujificha ndani ya raia wa kawaida, halafu makomando wanaingia kiaina na kuwaua humo humo bila raia yeyote kuathirika, ila hapa sasa hao magaidi kuwachomoa ndani ya raia sio rahisi kihivyo, unalazimika kupiga carpet bombing.
Kwako wewe ni rahisi kuongea ongea na kuandika kwenye mitandao maana upo sehemu yenye amani, hakuna anayeshambulia familia yako, ila ikujie mtu ashambulie watoto wako kisha aende akajifiche kwenye raia.
inabid uelewe kuwa Hamas wanatunzwa na kulishwa kwa kodi za wapalestina yaan kila wafanyacho kimebarikiwa na wapalestinaNisikilize vizuri mkuu
Kama unaamini katika kisasi cha jino kwa jino basi mjadala huu una maana
Taifa la Israel lina Haki ya Kujilinda. Mimi na wengine tunaojua Historia tunaamini bila shaka kabisa kuwa waarabu wameikalia ardhi ya Israel isivyo haki lakini je kuua watoto kama HAMAS walivyofanya ndivyo kunaleta haueni?
Mtu mjinga ama mpumbavu asikulazimishe ukahama kutoka kwenye hekima na kufuata mkumbo wa upumbavu wake.
Tuikemee na kuilaani vita (aina yeyote), hata ya maneno bali tuwatafutie suluhu wanaogombana ili kustawisha amani na mshikamano.
Tanzania tuna utamaduni wa utani wa kikabila ambao unafanyika ktk misiba, sherehe na kadhalika. Chanzo cha utani huo ni kufunika machungu ya mauaji ya vita za kikabila zilizopelekea kugharimu maisha ya watu wengi. Waliamua kupatana na kugeuza uchungu kuwa utani.
Ukitumia akili kidogo utaona namna ambayo amani haijawahi kuwa chaguo baya
kama wao walivyowafanyia wenzao kipindi cha vita vya msalaba mwekundu , waliwapa ahadi wayaudi ila hawakuzitimiza ikapelekea wayaudi kupakimbia kwaoMwisho wa siku Wapalestina watakuwa wakimbizi kabisa
Mkuu usihamishe mjadala.inabid uelewe kuwa Hamas wanatunzwa na kulishwa kwa kodi za wapalestina yaan kila wafanyacho kimebarikiwa na wapalestina
kbs kizee anamuhahoo ya yanayoendeleaaYupo kwa denial so ni lazima awe anarudia rudia tukio liliotokea siku 4 nyuma.Ukimwambia aongelee yanayoendelea sasa hivi utakuwa unamtesa sana.
Yaani mpaka karatasi walizotumia kidraft mipango italipuliwa 🤣🤣🤣Ninavyowakubaligi mitu ya Israel wote wanajitolea sans kwa ajili ya Taifa lao. Na hawanaga kuremba wala kukata tamaa. Na hapo ndio kwanza kazi inaanza. Ndio maana waziri mkuu katangaza ni vita vya muda mrefu. Hapo hizo za kutangazwa baadae zitaachwa,atakuwa anadokolewa mmoja mmoja kokote aliko. Na wote waliopanga mipango hii ovu na nyumba iliyopangiwa mipango na mtu alieanza anza hii mipango wote hesabuni hasara kwenu