Israel yafunga kwa muda balozi zake katika nchi 28 kufuatia maandamano ya Siku ya Quds

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

ISRAEL ON HIGH ALERT - YAFUNGA MABALOZI 28

Kujibu vitisho vilivyoongezeka kutoka kwa Iran baada ya IDF kuwaua maafisa wakuu nchini Syria, balozi 28 za Israel na balozi ndogo duniani zimeripotiwa kufungwa kwa muda - zikiwemo Azerbaijan, Bahrain, Misri, Jordan, Morocco, na Turkmenistan.

Tahadhari ya Ulimwenguni: Misheni za kidiplomasia za Israeli ziko katika hali ya tahadhari huku kukiwa na mashambulizi ya Iran.

Hatua za Usalama: Mabalozi fulani wanashauriwa kuepuka matukio ya umma ili kuhakikisha usalama.

Mvutano wa Kidiplomasia: Maafisa wa Israeli wanakanusha uvumi wa kuhama, kudumisha msimamo wa umakini mkubwa bila kujiondoa kabisa.

Chanzo: Jerusalem Post

View: https://x.com/marionawfal/status/1776216943281787285?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
IRAN: HIZI NDIZO SIKU ZA MWISHO ZA ISRAEL

Mkuu wa Mahakama:

"Utawala uliofedheheshwa wa Kizayuni unapitia siku zake za mwisho. Jinai za Israel hazijawahi kutokea katika historia, na utawala huo mbovu haufungamani na lolote.

Ninaamini kwamba uelewa wa watu kuhusu uhalifu wa Israeli leo hautakuwa sababu pekee ya Israeli, na wafuasi wao wanapaswa kuwajibika."

Chanzo: Tasnin

View: https://x.com/marionawfal/status/1776200706548027655?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wanafunga nn sasa hzo balozi wao siwababe wasubiri kipigo chao na Iran akiahidi lazima atekeleze km alivuomuahidi USA baada kumuua qaseem na akageuza majivu camps za USA na trump akazuga hakuna alieumia .
Wanafunga ili kuchukua tahadhari dhidi ya magaidi Iran na vibaraka wake.
Netanyahu alinukuu maneno ya kwenye bible kwamba kuna wakati wa vita na wakati wa amani. Sasa hivi Israeli iko vitani
 
Kwanza Iran walifikia wapi kwenye ile arrest warrant ya kumkamata Trump iliyotolewa na Mahakama yao?
Screenshot_20240405-154037.png

Maana tunaenda huu mwaka wa 3 na Trump anazidi kudunda tu na hana power ya madaraka tuliyokuwa tukifikiri labda ndio inayompa jeuri ya kufanya asikamatwe.

Au waliamua kumsamehe kimyakimya?

Au ilikuwa ni prank tu ya April fool kama wanavyofanya sasa?
 
IRAN: HIZI NDIZO SIKU ZA MWISHO ZA ISRAEL

Mkuu wa Mahakama:

"Utawala uliofedheheshwa wa Kizayuni unapitia siku zake za mwisho. Jinai za Israel hazijawahi kutokea katika historia, na utawala huo mbovu haufungamani na lolote.

Ninaamini kwamba uelewa wa watu kuhusu uhalifu wa Israeli leo hautakuwa sababu pekee ya Israeli, na wafuasi wao wanapaswa kuwajibika."

Chanzo: Tasnin

View: https://x.com/marionawfal/status/1776200706548027655?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Mkuu Ritz heshima kwako.
Nimeona bandiko lako na hoja ulizoziwasilisha. Naomba nikuhakikishie kwamba hilo ulilolitabiri ni vigumu kutokea kwavile maandiko Matakatifu yanathibitisha hilo. Mkuu Ritz rejea mission ile miaka ya sabini kipindi cha aliyekuwa Rais wa Misri Gamal Abdel Nasser ilivyoshindwa. Ingelikuwa raisi kama unavyo tabiri, Israel ingalishafutwa toka uso wa dunia.
Ahsante
 
Wanaukumbi.

ISRAEL ON HIGH ALERT - YAFUNGA MABALOZI 28

Kujibu vitisho vilivyoongezeka kutoka kwa Iran baada ya IDF kuwaua maafisa wakuu nchini Syria, balozi 28 za Israel na balozi ndogo duniani zimeripotiwa kufungwa kwa muda - zikiwemo Azerbaijan, Bahrain, Misri, Jordan, Morocco, na Turkmenistan.

Tahadhari ya Ulimwenguni: Misheni za kidiplomasia za Israeli ziko katika hali ya tahadhari huku kukiwa na mashambulizi ya Iran.

Hatua za Usalama: Mabalozi fulani wanashauriwa kuepuka matukio ya umma ili kuhakikisha usalama.

Mvutano wa Kidiplomasia: Maafisa wa Israeli wanakanusha uvumi wa kuhama, kudumisha msimamo wa umakini mkubwa bila kujiondoa kabisa.

Chanzo: Jerusalem Post

View: https://x.com/marionawfal/status/1776216943281787285?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Mwamba anafunga balozi kama tahadhari kubwa lakini pia kama mkakati mahsusi ili atakapotembeza kichapo cha mbwa mawizi majamaa yasipate mahali pa kwenda kwa kuandamana kupeleka malalamiko. Anataka wawalilie hao kina Ayatollah na Magaidi waliohusika kwa kusababisha hilo
 
IRAN: HIZI NDIZO SIKU ZA MWISHO ZA ISRAEL

Mkuu wa Mahakama:

"Utawala uliofedheheshwa wa Kizayuni unapitia siku zake za mwisho. Jinai za Israel hazijawahi kutokea katika historia, na utawala huo mbovu haufungamani na lolote.

Ninaamini kwamba uelewa wa watu kuhusu uhalifu wa Israeli leo hautakuwa sababu pekee ya Israeli, na wafuasi wao wanapaswa kuwajibika."

Chanzo: Tasnin

View: https://x.com/marionawfal/status/1776200706548027655?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Israel kiboko ya magaidi
 
Mkuu Ritz heshima kwako.
Nimeona bandiko lako na hoja ulizoziwasilisha. Naomba nikuhakikishie kwamba hilo ulilolitabiri ni vigumu kutokea kwavile maandiko Matakatifu yanathibitisha hilo. Mkuu Ritz rejea mission ile miaka ya sabini kipindi cha aliyekuwa Rais wa Misri Gamal Abdel Nasser ilivyoshindwa. Ingelikuwa raisi kama unavyo tabiri, Israel ingalishafutwa toka uso wa dunia.
Ahsante
Yeah! Ingetosha tu kumthibitishia kwamba Historia itajirudia. Waarabu wanataka kutengeneza barabara ya pili ya kifo (2nd Highway 80/Highway 8) Death road.
 
Israel imeanza kuogopa.
Ndio mfahamu Iran sio Syria, Israel hivi sasa wanaishi kama digidigi hofu nchi nzima, hofu balozi zote, hofu viongozi hadi jeshi.
 
Picha za satellite zimeonesha msafara wa magari ya kivita ya Iran yakivuka mpaka wa Iraq na Syria, nahisi Syria itakuwa uwanja wa vita.
 
Back
Top Bottom