Syria itageuka uwanja wa vita, nchi yao iliyoharibika itaharibika mara 10 ,maana yake kama majeshi yatapigana kutokea Syria wananchi wa Syria ndio wanaenda kufaa, watoto, wanawake, vijana, wazeePicha za satellite zimeonesha msafara wa magari ya kivita ya Iran yakivuka mpaka wa Iraq na Syria, nahisi Syria itakuwa uwanja wa vita.