Israel yafunga kwa muda balozi zake katika nchi 28 kufuatia maandamano ya Siku ya Quds

Israel yafunga kwa muda balozi zake katika nchi 28 kufuatia maandamano ya Siku ya Quds

Sawa mkongwe. Kwahiyo Iran walitakiwa kwenda USA kumkamata Trump ili kuthibitisha kwamba wao sio watu wa mchezo mchezo, sio?
Mmmmh, Trump is powerless!? Are you sure about this?
Kwani walipotoa ile warrant walielekeza kuwa akamatwe akiwa nchi gani?
 
Hii stahili ya C&P habari kutoka kwa wanaharakati wa x inabidi JF waiangalie upya.
Inafanya JF isiwe sehemu ya mijadala bali kama dampo la habari zisizo na uhakika kutoka vyanzo ambavyo hata havieleweki.
JF ni jukwaa huru naona hauataki kusoma vitu usivyovipenda hii na akili yako inakataa kukubali huu ukweli kutokana nq ushabiki mandazi uliokuwa nao habari imetoka Chanzo: Jerusalem Post wewe sijui unataka habari kutoka wapi usiwe punguani hizi habari zimejaa kwenye media nyingi.

Bofya hapa usome hii habari kutoka Israel.

 
Matusi ya nini tena kijana? Huko X unacopy kwani wengine hawazioni? Acha ulimbukeni wewe.
Hamna matusi yaani wewe ni punguani kujifanya Mods wa JF kupangia watu vitu vya kuandika umedikia wewe dogp acha kuwa limbukeni.
 
Marekani imeiambia Iran HAITAingilia kati iwapo Iran itaishambulia Israel, ili ipate dhamana Iran haitashambulia mali ya Marekani.
Israel Pekee anatosha kumtuliza Ayatollah.
 
Kwani walipotoa ile warrant walielekeza kuwa akamatwe akiwa nchi gani?
Mkongwe!
Kwa mujibu wa hoja yako, ni wazi kuwa warrant ya kukamatwa Trump ilitolewa na mahakama ya Iran. Hivyo basi ili Trump aweze kukamatwa inabidi awe ndani ya ardhi ya Iran ama nchi yoyote yenye urafiki MZURI na Iran, Serikali ya Iran haina mamlaka ya kuziamuru serikali za mataifa mengine kutekeleza ukamatwaji wa Trump. Trump alikanyaga Iran baada ya hiyo warrant kutoka na akaachwa hivihivi?
 
Warrant ya kumkamata Putin ni ya tofauti kwasababu ililenga kwa nchi wanachama wa jumuiya ya kimataifa kuwa akifanya ziara kwenye moja ya nchi hizo akamatwe.

Ikumbukwe kuwa baadhi ya nchi zimekuwa na urafiki mkubwa na Russia huku zingine zikijidhuhirisha msimamo wao kwa kutangaza kuisapoti Russia.

Hivyo Putin unaona jinsi alivyo na kinga.

Lakini pia Putin ana power ya madaraka tena kama kiongozi mwenye nguvu kubwa duniani hivyo ni rahisi kufikiria kuwa ana backup ambayo inamfanya iwe ngumu kukamatwa.

Lakini kwa Trump ni tofauti, Trump now is powerless, pamoja na hayo bado Iran imeshindwa kutekeleza agizo lake la kimahakama.

Hiyo tu inatosha kututhibitishia kuwa Iran ni Taifa lenye viongozi wenye mikwara with zero action.

Kwa pointi hiyo sioni mantiki ya kuwachukulia serious kwenye huu mkwara wao wa sasa dhidi ya Israel.
😀😀😀 Hamkosagi excuse dub
 
Syria itageuka uwanja wa vita, nchi yao iliyoharibika itaharibika mara 10 ,maana yake kama majeshi yatapigana kutokea Syria wananchi wa Syria ndio wanaenda kufaa, watoto, wanawake, vijana, wazee
Sasa hao watoto,wazee na wanawake si walikua wanuawa kitambo tu

Hakuna cha kupoteza hapo
 
Back
Top Bottom