Israel yafunga kwa muda balozi zake katika nchi 28 kufuatia maandamano ya Siku ya Quds

Picha za satellite zimeonesha msafara wa magari ya kivita ya Iran yakivuka mpaka wa Iraq na Syria, nahisi Syria itakuwa uwanja wa vita.
Syria itageuka uwanja wa vita, nchi yao iliyoharibika itaharibika mara 10 ,maana yake kama majeshi yatapigana kutokea Syria wananchi wa Syria ndio wanaenda kufaa, watoto, wanawake, vijana, wazee
 

Kwani ile warrant ya mahakama ya kimataifa kumkamata Putin imefikia wapi?
Maana nasikia Putin anaendelea kutembeza bakora hapo Kyiv kila akijisikia.
 
Hivi unaamini kabisa hiki ulichokiandika!?
Kuwa Israel ana uwezo wa kumtembezea kichapo cha mbwa mwizi Iran?
Mna vituko sana!!!
 
Syria itageuka uwanja wa vita, nchi yao iliyoharibika itaharibika mara 10 ,maana yake kama majeshi yatapigana kutokea Syria wananchi wa Syria ndio wanaenda kufaa, watoto, wanawake, vijana, wazee
Iran ikifanikiwa kuishika milima ya Golan Israel ndio kwaheri kabisa.
Ukiwa Golan Tel Aviv unaiona kwa mbali na ukitumia darubini unaona mpaka Haifa na Gaza.
 
Hao waajemi hawaifahamu Israel wawaulize waarabu lakini safari hii watawafahamu vizuri sana.
 
Kwani ile warrant ya mahakama ya kimataifa kumkamata Putin imefikia wapi?
Maana nasikia Putin anaendelea kutembeza bakora hapo Kyiv kila akijisikia.
Warrant ya kumkamata Putin ni ya tofauti kwasababu ililenga kwa nchi wanachama wa jumuiya ya kimataifa kuwa akifanya ziara kwenye moja ya nchi hizo akamatwe.

Ikumbukwe kuwa baadhi ya nchi zimekuwa na urafiki mkubwa na Russia huku zingine zikijidhuhirisha msimamo wao kwa kutangaza kuisapoti Russia.

Hivyo Putin unaona jinsi alivyo na kinga.

Lakini pia Putin ana power ya madaraka tena kama kiongozi mwenye nguvu kubwa duniani hivyo ni rahisi kufikiria kuwa ana backup ambayo inamfanya iwe ngumu kukamatwa.

Lakini kwa Trump ni tofauti, Trump now is powerless, pamoja na hayo bado Iran imeshindwa kutekeleza agizo lake la kimahakama.

Hiyo tu inatosha kututhibitishia kuwa Iran ni Taifa lenye viongozi wenye mikwara with zero action.

Kwa pointi hiyo sioni mantiki ya kuwachukulia serious kwenye huu mkwara wao wa sasa dhidi ya Israel.
 
Sawa mkongwe. Kwahiyo Iran walitakiwa kwenda USA kumkamata Trump ili kuthibitisha kwamba wao sio watu wa mchezo mchezo, sio?
Mmmmh, Trump is powerless!? Are you sure about this?
 
Wanafunga ili kuchukua tahadhari dhidi ya magaidi Iran na vibaraka wake.
Netanyahu alinukuu maneno ya kwenye bible kwamba kuna wakati wa vita na wakati wa amani. Sasa hivi Israeli iko vitani
Marekani imeiambia Iran HAITAingilia kati iwapo Iran itaishambulia Israel, ili ipate dhamana Iran haitashambulia mali ya Marekani.
 
Hayo masaa 48 mnahesabu kwa mfumo upi ili tujue yamebaki mangapi
 
Ni kama marekani inavotaka Putin kukamatwa 50/50 kwa kilumbi tunasema fiftefifte tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…