Kwani walipotoa ile warrant walielekeza kuwa akamatwe akiwa nchi gani?Sawa mkongwe. Kwahiyo Iran walitakiwa kwenda USA kumkamata Trump ili kuthibitisha kwamba wao sio watu wa mchezo mchezo, sio?
Mmmmh, Trump is powerless!? Are you sure about this?
JF ni jukwaa huru naona hauataki kusoma vitu usivyovipenda hii na akili yako inakataa kukubali huu ukweli kutokana nq ushabiki mandazi uliokuwa nao habari imetoka Chanzo: Jerusalem Post wewe sijui unataka habari kutoka wapi usiwe punguani hizi habari zimejaa kwenye media nyingi.Hii stahili ya C&P habari kutoka kwa wanaharakati wa x inabidi JF waiangalie upya.
Inafanya JF isiwe sehemu ya mijadala bali kama dampo la habari zisizo na uhakika kutoka vyanzo ambavyo hata havieleweki.
Israel Pekee anatosha kumtuliza Ayatollah.Marekani imeiambia Iran HAITAingilia kati iwapo Iran itaishambulia Israel, ili ipate dhamana Iran haitashambulia mali ya Marekani.
Mkongwe!Kwani walipotoa ile warrant walielekeza kuwa akamatwe akiwa nchi gani?
πππ Hamkosagi excuse dubWarrant ya kumkamata Putin ni ya tofauti kwasababu ililenga kwa nchi wanachama wa jumuiya ya kimataifa kuwa akifanya ziara kwenye moja ya nchi hizo akamatwe.
Ikumbukwe kuwa baadhi ya nchi zimekuwa na urafiki mkubwa na Russia huku zingine zikijidhuhirisha msimamo wao kwa kutangaza kuisapoti Russia.
Hivyo Putin unaona jinsi alivyo na kinga.
Lakini pia Putin ana power ya madaraka tena kama kiongozi mwenye nguvu kubwa duniani hivyo ni rahisi kufikiria kuwa ana backup ambayo inamfanya iwe ngumu kukamatwa.
Lakini kwa Trump ni tofauti, Trump now is powerless, pamoja na hayo bado Iran imeshindwa kutekeleza agizo lake la kimahakama.
Hiyo tu inatosha kututhibitishia kuwa Iran ni Taifa lenye viongozi wenye mikwara with zero action.
Kwa pointi hiyo sioni mantiki ya kuwachukulia serious kwenye huu mkwara wao wa sasa dhidi ya Israel.
Sasa hao watoto,wazee na wanawake si walikua wanuawa kitambo tuSyria itageuka uwanja wa vita, nchi yao iliyoharibika itaharibika mara 10 ,maana yake kama majeshi yatapigana kutokea Syria wananchi wa Syria ndio wanaenda kufaa, watoto, wanawake, vijana, wazee