Israel yaiomba ruhusa Marekani iishambulie Iran, URUSI yaondoa wanadiplomasia Tel Aviv

Conspiracy theory bado mpo wajinga wa kuamini huo uwezo wa israel??Kwenye 12 days alishindwa nini?
 
Huyu jamaa kinamuwashaga sana😂😂😂.
Ajitizame anaenda kuiangamiza nchi ya Israel kwa upuuzi wake wa kuendekeza ubabe usio na manufaa.
Waajemi wameshayachoka maisha wale hawahofii kifo.
Madhara ya vita ya June hayajarekebishika anataka kuibua mengine tena.
 
Lini mmeshawahi kuiangamiza israel?🤣🤣
 
Hao makamanda huwa wanadunguliwa siku ya kwanza tu ya vita
 
Israel wamuache Ayatollah apone pressure yake kwanza. Watamuua huyu mzee.
Kataifa kadogo ambako hakafiki hata nusu ya Iran ila kanapeleka moto vibaya.
Vita vya majuzi vya siku 12 ulikuwa hujazaliwa wakati Mazayuni wanaomba ceasefire kwa kipigo kitakatifu?

Ayatollah anakwambia katika masuala ya kivita umri wake ni mzee ila roho yake ni kama ya kijana wa miaka 20 anayetamani na asiyeogopa vita.
 
Tuache utani kile kipigo alichotoa Iran ni mwana UKOME.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…