Wewe ni mpumbavu,,geopolitics za nyoko.Wewe hujui chochote kuhusu geopolitics na siasa za mashariki ya kati, unapelekeshwa na mahaba....
Huna facts zozote... ungekaa kimya tu kuliko ku comment na kuendelea kuonekana ni mjinga...
Hujui chochote kuhusu geopolitics... usinipotezee muda..Wewe ni mpumbavu,,geopolitics za nyoko.
Umejaa mihemko yako ya kikobazi huna lolote.
Viva israel,viva netanyahu
Anaomba ulinzi kwanzaKwanini aombe ruhusa kama anajiamini, big powers hawaombi ruhusu, wanaliamsha dude tu....
Malengo yapi ya vita kwa Israel alifanikisha? unaweza kunieleza? regime change ilifanikiwa? kuharibu nuclear
Naona unajizungumzia hapa kwamba huna facts na umejaa mihemko. No wonders...ndio kawaida yenu hii. Mkishindwa hoja huwa mnageukia personal attack.Wewe hujui chochote kuhusu geopolitics na siasa za mashariki ya kati, unapelekeshwa na mahaba....
Huna facts zozote... ungekaa kimya tu kuliko ku comment na kuendelea kuonekana ni mjinga...
Kama vile wewe unafikiria pumbu kufikiria Israel kupigana na Hamas leo miaka miwili hajaweza kuokoa hata mateka wake mmoja licha ya kusaidiwa na USA, UK, Germany, Canada, Australia, Italy, France, India, Turkey na pia nchi za kiarabu wakiwemo Jordan, Egypt, UAE, Saud Arabia, Morocco, Baharain +Nchi za kiafrica walizo peleka watu wao huko kusomea vilimo hahahaisrael kapiga majirani zake wote pale ingawa ni ka nchi kadogo.
ila bado kuna majinga humu yanatumia sijui pumbu kufikiria yanalinganisha israel na upuuzi wao.
Japo nimechelewa kujibu ila aisee hii points yako ni Kali .Hatujui ila USA mbwa wake mashariki ya kati ni Israel.
Israel na USA wote wananufaika kwa ubabe wao mashariki ya kati.
Mfano kuna mipaka ya bahari baina ya Israel na Lebanon ambayo ilikua na uhasama ila kiuhalisia eneo ni la Lebanon,ubabe kuzidi na Hizbollah kuchachamaa mwaka jana ndio likatoka pendekezo hiyo mipaka igawanywe pasu kwa pasu,japo kiuhalisia mipaka ni ya Lebanon.
Basi kuepusha mengi Lebanon ikakubali.
Hiyo mipaka Ina utajiri mkubwa wa gesi,mafuta na madini mkakati ya baharini.
Je unadhani USA hatonufaika hapo kaka!?
Gaza pia Kuna tetesi kuwa kuna gesi na madini ya kutosha ndio maana wanataka kupashikilia.
Unadhani pakishikiliwa USA hatonufaika!?
Hao Hamas,iran,hezbollah,houth na makundi yote ambayo israel inapigana nayo mbona nayo pia yanapewa msaada na nchi kama russia,china,korea e.t.c au ndio nyani haoni kundule???Kama vile wewe unafikiria pumbu kufikiria Israel kupigana na Hamas leo miaka miwili hajaweza kuokoa hata mateka wake mmoja licha ya kusaidiwa na USA, UK, Germany, Canada, Australia, Italy, France, India, Turkey na pia nchi za kiarabu wakiwemo Jordan, Egypt, UAE, Saud Arabia, Morocco, Baharain +Nchi za kiafrica walizo peleka watu wao huko kusomea vilimo hahaha
WE HUYO WAKUPIGANA NA WARABU BILA KUSAIDIWA NA Western na Viongozi wa kiarabu habaki hata siku moja.
Nchi inapewa silaha za kila aina na USA na wenzake na bado hawezi vita bila kusaidiwa dalili hapo Gaza tu. Wacha ile vita na Egypt mpaa Sadat aliamua kufanya nao peace sababu alisema tunapigana na UN sio Israel. Sadat alisema jeshi la Misr kila likipiga hatua linakutana na majeshi ya Italy, France, Germany, UK, na USA wanamsaidia Israel.
Wewe kwa kuwa ni.katika makenge lazima utaona tofouti na wengine.
Mbona wameshindwa kuwafurusha Hamas ambao wapo kwenye kieneo kinaitwa Gaza ukubwa wa Kigamboni?Naona unajizungumzia hapa kwamba huna facts na umejaa mihemko. No wonders...ndio kawaida yenu hii. Mkishindwa hoja huwa mnageukia personal attack.
Israel ataendelea kuwakera day in,day out. Kanchi kadogo kanagawa kichapo kwa nchi za kutosha.
Haya tukaneni sasa.
Sio uongo ndio ukweli wenyewe mkuu.Japo nimechelewa kujibu ila aisee hii points yako ni Kali .
Kumbe rasilimali ndio chanzo Cha migogoro ya kivita? Mabeberu hawana shida na mtu ,wao wanataka rasilimali tu.
Nilikuwa sijui,nilizani wanajionyesha tu.
Ok mwamba ahsante kwa elimu.Ungefaa kuwa mchambuzi wa mambo ya kimataifa, kitaani patakuwa kama ulaya hahaha.
Na hapo bado!! Hata Yemen inajitahidi sana kuwatetea na kuwapa misada na silaha HAMAS, juzi hapa niliona jeshi la Israellinatumia bulldoser na mashine nyingine ku-uproot/ng'oa miti ya mizaituni zaidi ya 3,000 kwenye makazi ya Wapalestina!! Lengo hasa la zoezi hili wanataka Wapalestina wahame kwenye makazi yao ya asili na kuwaweka/kuwahamishia walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo hayo, kibaya zaidi hata Trump anaunga mkono ushetani huu kwa kuwa yeye na Netanyahu wanataka kuwekeza kwenye ukanda huo masusla ya ujenzi wa mahoteli ya watalii na vjiwanja vya kucheza Golf, mataifa ya west yanayo pinga ufhslimu huu wa Natenyau ni EU na Uingereza basi, Merikani hasemi kitu ie wanaiuunga mkono Serikali ya Natenyahu.Plan ya Netanyahu ya kuichukua Gaza cuty na kuikalia jumla inampalia. Wanajeshi wa IDF wanapukutishwa na Hamas na wanakimbia mapigano. Hamas kweli ni wanamume. Wanastaili sifa zote
Well said, lengo hasa ni kugombania natural resources, ubinadamu kwao ni secondary kabisa.Sio uongo ndio ukweli wenyewe mkuu.
Tuachane na mashariki ya kati,twende kwa wenyewe watu weupe Ukraine.
Hivi umeshawahi kujiuliza kwanini USA na collective West wanampa silaha unconditionally Ukraine dhidi ya Urusi!?
Unadhani mkuu Ile misaada Ukraine anapewa bure!?
Laa hasha kaka,hiyo misaada ilikuja ifidiwe na madini mkakati yaliyopo Mashariki mwa Ukraine. Ila bahati mbaya hayo maeneo Urusi ameyabeba.
Kama wazungu na USA wangefanikiwa kumuweka chini Urusi kwa kumsaidia Ukraine inamaana hayo maeneo wangekua wao wameyakalia na kuchimba madini mkakati ambayo yangewasaidia wasitegemee China kwa madini mkakati.
Hakuna vya bure mjini big NO.
Well said mkuu, lakini kwa bahati mbaya kuna baadhi ya members ambao uelewa wao wa masuala haya huko wired haywire, watabishi tu na matusi juu!!Vita iliyoisha unatambua Israel ndie aliiomba US kuongea naIran kufanya ceasefire? kwa sababu Israel haikuwa na uwezo tena wa kuvumilia mashambulizi yale...
Looks like Geopolitics sounds Greek to him/her unfortunately!!Wewe hujui chochote kuhusu geopolitics na siasa za mashariki ya kati, unapelekeshwa na mahaba....
Huna facts zozote... ungekaa kimya tu kuliko ku comment na kuendelea kuonekana ni mjinga...
Wow hii pia kwangu mpya.Hakuna Cha bure. Mimi nilizani kwa sababu Ushirikiano wa kimataifa basi USA anamsaidia Ukraine aisee.Sio uongo ndio ukweli wenyewe mkuu.
Tuachane na mashariki ya kati,twende kwa wenyewe watu weupe Ukraine.
Hivi umeshawahi kujiuliza kwanini USA na collective West wanampa silaha unconditionally Ukraine dhidi ya Urusi!?
Unadhani mkuu Ile misaada Ukraine anapewa bure!?
Laa hasha kaka,hiyo misaada ilikuja ifidiwe na madini mkakati yaliyopo Mashariki mwa Ukraine. Ila bahati mbaya hayo maeneo Urusi ameyabeba.
Kama wazungu na USA wangefanikiwa kumuweka chini Urusi kwa kumsaidia Ukraine inamaana hayo maeneo wangekua wao wameyakalia na kuchimba madini mkakati ambayo yangewasaidia wasitegemee China kwa madini mkakati.
Hakuna vya bure mjini big NO.
Tujikite kilicho tokea kwa Israel ndani ya siku 12 tangu kuanzisha vita, Dunia nzima ilikuwa inaona jinsi Israel ilivyo kuwa inashambuliwa na makombora/missiles za Iran zina hit bulls eye unhindered, mpaka Natenyahu anachanganyikiwa na kwenda kuomba msaada kitoka kwa Trump ili vita visitishwe.Kwani anga la iran halikuwa wazi??,tena israel ilitumia ndege na marubani wa kike.,ambapo iran ilitumia missiles.
Haf israel ni nchi ndogo kuliko hata mji wa morogoro.ila angalia inavyowajambisha pale middle east,inapambana na nchi zenu zote na makundi yenu yote,,huwezi hata kufikilia hili??
Are you worth comparing your islamic regimen and countries to israel,jibu ni hapana.