Hadi sasa USA ndio anatambulika kama superpower.Wow hii pia kwangu mpya.Hakuna Cha bure. Mimi nilizani kwa sababu Ushirikiano wa kimataifa basi USA anamsaidia Ukraine aisee.
Kumbe sababu ni mpunga wa madini?
Sasa bro hii inaonekana USA anafanya hivyo ili kuwa superpower wa dunia?
Na hapo Ukraine USA hajakubali kushindwa baada ya Urusi kubeba ardhi yenye madini ambayo alisainishwa Marekani na Zelensky.Well said, lengo hasa ni kugombania natural resources, ubinadamu kwao ni secondary kabisa.
Trump anazuga Dunia na Putin eti ana nia thabiti ya kusitisha vita huko Ukraine, lakini juzi hapa Trump huyo huyo anaye jitia ni mpenda amani aliidhinisha kupelekwa long range cruise missiles zaidi ya 3000 huko Ukraine lengo likiwa zitumike kushambulia viwanda, airbases na maeneo mengine nyeti ya Taifa la Urusi, yaani na yeye anashirikiana na wenzake wa west kujaribu kui-defeat militarily Russia hiyo ndiyo agenda yao ya siri ya siku nyingi ie kuisambaratisha Urusi kwenye vinchi vidogo vidogo ili iwe rahisi kwao kupora mali asili hasa madinj, huwa wanadai kwamba Urusi is too big as a Nation endowed with vast natural resources, we can surely do something to cut her to size and grab everything unhindered specificaly Natural resources.
Samahani hilo la Trump ku-sign MoU na Zelensky kuhusu masuala ya madini nililisahau kulisema, kwa bahati mbaya au nzuri madini mengi yapo kwenye majimbo ya kusini mashariki mwa Ukraine yanayo kaliwa na Urusi hivi sasa baada ya kupitishwa kwa referendum, sasa hapo sijui Trump atafanya nini, je, atakaa meza moja na Putin ku-renegotiate modarity ya ku-exploit madini hayo au ata give up!!Na hapo Ukraine USA hajakubali kushindwa baada ya Urusi kubeba ardhi yenye madini ambayo alisainishwa Marekani na Zelensky.
Ila hawataweza kushinda hata kidogo.
Putin pia sio mjinga unadhani hawajui michezo yao!?
Mkuu kuhusu maeneo ambayo Urusi ameyapata kwa kumwagika damu sahau yeye kufanya any kind of negotiations.Samahani hilo la Trump ku-sign MoU na Zelensky kuhusu masuala ya madini nililisahau kulisema, kwa bahati mbaya au nzuri madini mengi yapo kwenye majimbo ya kusini mashariki mwa Ukraine yanayo kaliwa na Urusi hivi sasa baada ya kupitishwa kwa referendum, sasa hapo sijui Trump atafanya nini, je, atakaa meza moja na Putin ku-renegotiate modarity ya ku-exploit madini hayo au ata give up!!
Israel hakuna kitu chochote pale...Well said mkuu, lakini kwa bahati mbaya kuna baadhi ya members ambao uelewa wao wa masuala haya huko wired haywire, watabishi tu na matusi juu!!
Kwa sifa ulizotaja nakubaliana USA ni super power.Hiyo kuwa na kambi za kijeshi Kila bara duniani? Ni hatari sana.Hadi sasa USA ndio anatambulika kama superpower.
Japo China ameleta balance of power kiuchumi na Urusi ameleta balance of power kijeshi.
UN muanzilishi USA makao makuu USA.
IMF na WB mwenye veto power ni USA kuliko wengine.
Ana kambi za jeshi Kila bara hapa duniani.
Ndiye superpower wasasa kaka,japo ameshaanza kupoteza nguvu za kuwa superpower.
Na ukiona taifa halipatani na USA juwa shida ni maslahi eidha ya geopolitics ama geoeconomics.
Venezuela kwa kina Nicolas Maduro yale yale,maslahi ya mafuta na natural gas ndio mzozo mkubwa baina ya USA na Venezuela chini ya Maduro.
Nakubaliana nawe Trump na washirika wake hawajakubali kushindwa ingawa Trump hataki kuonyesha moja kwa moja kwamba anamuunga mkono Zelensky watajitia kukorofishana kwa muda lakini baadae wanapata na ku sign MoU kuhusu madini na machimbo na mambo mengine chungu mzima ambayo hawaweki wazi, lakini mara nyingi Zelensky akisema sisi Uongozi wa Amerika chini ya Trump sijui wana mpango wa kuingia nao ubia sijui wa kuunda silaha na mambo mengine nchini Ukraine, sasa mtu unabaki unajiuliza hivi huyu Trump na Zelensky what are they up to??Je, wako sincere kweli katika kusitisha vita hii au waigizaji, lakini instict inakwambia kwamba ultimately Trump naye anataka Urusi ishindwe kwenye vita hii na mifano ya kusupport maoni yangu hipo,kwanza wiki iliyo pita nilishangazawa na kauli za Trump baada ya kumshauri Zelensky na jeshi la Ukraine kwamba hawawezi kuishinda vita Urusi wakiendelea kutegemea defensive weapons badala yake watumia offensive weapons za kushambulia mission critical assets za Urusi kama viwanda, airbases, Navy bases, oil refinery nk. Kumbe Yrump alikuwa atanii baada ya siku chache kupita tukasikia Trump kwamba ameidhisha hizo offensive weapons namely Cruise missiles zaidi ya 3000 kupelekwa kwenye war theater huko Ukraine, sasa hii inaleta picha gani kumuhusu Trump na maigizo yake ya kujifanya anataka suruhu huku akienfelea ku-armNa hapo Ukraine USA hajakubali kushindwa baada ya Urusi kubeba ardhi yenye madini ambayo alisainishwa Marekani na Zelensky.
Ila hawataweza kushinda hata kidogo.
Putin pia sio mjinga unadhani hawajui michezo yao!?
Swali zuri sana, unajua kitu kingine nilicho ki-observe, wengi wanao jitia kubishi bishi ebu chunguza kiundani uchambuzi wao, kwanza wanaoneka uelewa wao ni mdogo sana nina hata na wasi wasi kuhusu kiwango chao cha elimu yao si ajabu niya kuunga unga tu au ni dismal kabisa, hawana hata chembe ya exposure yoyote wapo wapo tu.Israel hakuna kitu chochote pale...
Nchi yenyewe inazidiwa umri na babu yangu...
Wengi wanaoshabikia uelewa wa geopolitics ni mdogo, elimu pia ni duni, nimeshangaa Australia wameandamana maandamno ambayo ni ya kihistoria kupinga genocide anayofanya Israel ila hawa wajinga wa humu sijui watawaita hao wazungu na wenyewe ni kobazi?
Hapo ni Australia.. siku chache zilizopita..
Hapa ni Barcelona...
Na nchi nyingin nyingi wanaendelea na maandamano kuping Israel inachofanya.. sasa sijui na hao ni wafuga midevu na majini..
Kwasasa wanaweza mkuu na ushahidi upo.Kwa sifa ulizotaja nakubaliana USA ni super power.Hiyo kuwa na kambi za kijeshi Kila bara duniani? Ni hatari sana.
Na vipi kuhusu hawa wapinzani wa USA? Yaani BRICS! Je wanawezaje hawa kushindana na USA
Mara nyingi Russia imeonyesha inaishambulia Ukraine sio kwa full force, nadhani hata Ukraine wanalitambua hilo, Russia wana uwezo kushambulia kwa nguvu kiasi au kwa nguvu zaidi tokana na malengo yao ya kivita yapo vipi... na hilo wamelidhihirisha...watumia offensive weapons za kushambulia mission critical assets za Urusi kama viwanda, airbases, Navy bases, oil refinery nk. Kumbe Yrump alikuwa atanii baada ya siku chache kupita tukasikia Trump kwamba ameidhisha hizo offensive weapons namely Cruise missiles zaidi ya 3000 kupelekwa kwenye war theater huko Ukraine
Ukraine ana wakati mgumu sana,akiishambulia urusi,urusi inajibu kwa nguvu kubwa,unabaki kujiuliza ushambulie tena au ukaushe,na uko vitaniMara nyingi Russia imeonyesha inaishambulia Ukraine sio kwa full force, nadhani hata Ukraine wanalitambua hilo, Russia wana uwezo kushambulia kwa nguvu kiasi au kwa nguvu zaidi tokana na malengo yao ya kivita yapo vipi... na hilo wamelidhihirisha...
Ile siku Ukraine imepigwa na oreshnik missile ni kwa sababu Ukraine ilianza kudanganywa na NATO kutumia long range missiles ku target ndani ya Russia...
Kila Ukraine anapotaka kuanza kujaribu kufanya mashambulizi ndani ya Russia, Russia inajibu kwa nguvu kubwa...nadhani kinawafanya Ukraine wawe wapole..
Israel sio Palestine boya wwWanasema safari hii itawachukua 48 hours kuifanya israel iparalaizi
Hata leo nimemuona Zelensky na wasaidizi wake wanakuwa wapole wakiomba Dunia iwasihi Warusi wasitishe vita, hii ilinishangaza kidogo, imekuwaje tena mtu mwenye kiburi kama Zelensky anahamua kumeza his pride na kutaka pawepo suruhu.Mara nyingi Russia imeonyesha inaishambulia Ukraine sio kwa full force, nadhani hata Ukraine wanalitambua hilo, Russia wana uwezo kushambulia kwa nguvu kiasi au kwa nguvu zaidi tokana na malengo yao ya kivita yapo vipi... na hilo wamelidhihirisha...
Ile siku Ukraine imepigwa na oreshnik missile ni kwa sababu Ukraine ilianza kudanganywa na NATO kutumia long range missiles ku target ndani ya Russia...
Kila Ukraine anapotaka kuanza kujaribu kufanya mashambulizi ndani ya Russia, Russia inajibu kwa nguvu kubwa...nadhani kinawafanya Ukraine wawe wapole..
Kivip bwashee?Bwana Kunguni, lete vitu!.🤣😂
Nilikua namsikiliza Scott Ritter mchambuzi wa masuala ya kivita na former US marine corps intelligence officer, alisema kwamba Russia inaishambulia Ukraine si kuivunja na kuiharibu, wanaitaka in one piece sio iwe imevunjika vipande vipande...Hata leo nimemuona Zelensky na wasaidizi wake wanakuwa wapole wakiomba Dunia iwasihi Warusi wasitishe vita, hii ilinishangaza kidogo, imekuwaje tena mtu mwenye kiburi kama Zelensky anahamua kumeza his pride na kutaka pawepo suruhu.
Na hapo ni bado, sasa Zelensky na jeshi lake wakifanya mzaha wa kushambulia ndani ya Urusi kwa kutumia long range cruise missiles ambazo Trump amekwisha amuhua kumpatia Zelensky zitawasili wiki ijayo kama sikosei, sasa Zelensky akifanya makosa ya kuzivurumisha ndani ya aridhi ya Russia kwenye maeneo mission critical assets za jeshi la Urusi pamoja na viwanda - hapo Ukraine itachakazwa kweli kweli ikifuatia possibly na regime change. Atuombi hilo litokee lakini, lakini west na Ukraine waki cross redline uwezekano huo unaweza kutokea kabisa.
,
Uchambuzi mzuri sana, be blessed.Hadi sasa USA ndio anatambulika kama superpower.
Japo China ameleta balance of power kiuchumi na Urusi ameleta balance of power kijeshi.
UN muanzilishi USA makao makuu USA.
IMF na WB mwenye veto power ni USA kuliko wengine.
Ana kambi za jeshi Kila bara hapa duniani.
Ndiye superpower wasasa kaka,japo ameshaanza kupoteza nguvu za kuwa superpower.
Na ukiona taifa halipatani na USA juwa shida ni maslahi eidha ya geopolitics ama geoeconomics.
Venezuela kwa kina Nicolas Maduro yale yale,maslahi ya mafuta na natural gas ndio mzozo mkubwa baina ya USA na Venezuela chini ya Maduro.
Nimeona mwanadada amekufungia kibwebwe, yupo tayari kwa malumbano lakini si kwamapambano!.Kivip bwashee?
Mwanadada yupi bwashee? Na umeona wapi?Nimeona mwanadada amekufungia kibwebwe, yupo tayari kwa malumbano lakini si kwamapambano!.
Huyo aliekupa jina la bwana "kunguni'Mwanadada yupi bwashee? Na umeona wapi?
Nani huyo ? Elezea kwa ufasahaHuyo aliekupa jina la bwana "kunguni'