Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Wanao wa Iran wale majews ndio wamewatumia lakini chief of staff yupo hai walio muuwa ni Hussein Salami wa IRGC pia wanadai wamemuwa chief of staff Iran imekanusha hayo kwa hio sio kila walisemalo Israel ni kweli.
Wameaua wanasayansi wakubwa wa nuclear wawili na general mmoja mkubwa kijeshi.. ukiacha Salami...

Israel inasema inafahamu Iran itajibu kwa drones na missiles hivyo Netanyahu anasema Israel itajibu as long as it takes. yaani itakuwa piga nikupige.
 
Leta uthibitisho wa kueleweka kuwa alimuua PM.

Mm naunga mkono magaidi kupewa dozi mmoja mmoja πŸ”₯ hatutaki amani tunataka kuona magaidi wakipewa dozi tuuu
Nini maana ya gaidi?
 

Iran uwezo bado upo chini. Ni vile inajitahidi kujitutumua.

Ni kama MTU aamini Chadema kwa wakati huu itaishinda CCM.
Ndivyo watu wanaoamini Iran itaiweza Israel ambayo nyuma yake inakila sapoti
 
Ndugu yangu
Irani ya sasa sio ya mwaka 47 hii inakwenda kuwa vita kubwa na yenye hasara kubwa sana ndani ya mashariki ya kati......

Iran nyuma yake kuna China, Russia na nchi wengine washirika....... hawawezi kukaa na kuangalia Iran ikiangamia......

Nyuma ya Israel wote tunajua kuna nani na imebeba maslahi ya nani......hili jambo linakwenda kuleta athari mbaya mbaya sana.......

Kwa nchi ya Iran kwa jinsi ambavyo amekuwa akipambana na vikwazo miongo ya miaka hana cha kupoteza analazimika kupigana kwa nguvu zake zote na kwa silaha zake.......

Iran lazima atakuwa anejiandaa kwa haya yanayoendelea kwani anamjua adui yake anayemuwinda......


Israel kwa upande wake asingeweza kukaa na kutulia huku adui yake anayetishia uwepo wake akistawisha bomu kubwa la nyuklia.......

Hii vita ilikuwa lazima itokee ili kuwe na muafaka lakini inakwenda kuwa vita kubwa sana
 
Netanyahu anatembeza kichapo kila kona ya Mashariki ya kati.

Kule Wahouthi, huku Gaza, kule Hizbollah, Iran naye keshaingia kwenye 18 zake.

Wanatia huruma.

On the real though, huu ni uchokozi. Hakukuwa na haja ya kuishambulia Iran.

Tangu naskia hizi vita, sijawah kusikia kiongozi wa Israel ameuawa na magaidi πŸ˜‚
Labla mnikumbushe.

Mm sitaki kujua Israel wana haki ya kuipiga Iran au vp, mm nachotaka kuona n Israel wakitoa dozi tuu πŸ˜‚
 
Mkuu Iran inaugonjwa kama wa CCM nchi inapotea wao kazi yao kumsifia kiongozi mkuu wa nchi, nakuonea watu wa ndani, ndio maana Adui wa nje kama israel anajipigia.

Hizi unajua mtu kutoka KM 3000 kwenda na ndege kuua viongozi wa Jeshi ndani kwako maana yake anataarifa za kina kuliko hata ulizonazo
 
Kila siku mnasema hv Ila hatujawahi kuona hy kazi ya hao magaidi kwenda kwa Israel πŸ˜‚
 
Kipigo kwa Israel hakiepukiki na akipigwa kiherehere kitamuisha na hapo ndipo US atajitokeza live baada ya Israel kuweka mkia kati kati ya miguu...

Tupo hapa..
Tangu hizi vita zianze, unachoongea n lini kiliwah kutokea?
 
Tulizana mbona huwa mnapupa sana tulieni tuliwambia US atak8mbia Red Sea mkawa mnamcheka Yemen mwisho US akapiga magoti.

Israel hawezi kuvumilia kipigo kinacho kuja time itaongea hata USA atachapwa tu sababu yupo kwenye game Iran kisha hakikisha hayo
 
Israel hawezi kufanya jambo bila kupiga hesabu. Wakati mashambulizi yanaanza Iran wanajiandaa kujitangaza kumiliki silaha ya nuclear
. Netanyahu hakuwa na namna, inaonekana IDF na US wanajua Iran haitaweza kujibu kiasi cha kuwatisha. Sasa kumekucha.
 

Iran haina marafiki wa kufa kupona
China sio rafiki wa kutegemewa.
Urusi ni Mzungu, hawezi kuwa upande wa muajemi akaacha Wazungu wenzake.

Iran kama anaingia vitani aingie kwa kujiangalia yeye kama yeye. Lakini kama ni washirika hao uliowataja hawawezi kumsapoti.

Ngoja tuone.
 

Pamoja na hayo, bado mtakuja kulialia Israel wameua watoto na wanawake πŸ˜‚
 

Ngoja tuone!
Ila nakumbusha tuu vita haina macho na haina Sheria. Hizo Sheria mnazoziita Sheria ni geresha tuu.

Hivyo baadaye hatutali malalamiko
 
Nimeamini USA ni kama malaya wa Israel, kila itakachoambiwa inafanya hasa akiwepo raisi ms3nge asie na akili kama Trump...

Yaani kaIsrael kanampelekesha US kama mtoto mchepuko/malaya/changudoa...

Hii vita anayeingia gharama za kifedha ni US, US stop being Israel's whore...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…