Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel imesema hii ni oparetion ya wiki mbili ila hii ni vita kamili

Na haya yote lazima marekani kahusika kwa asilimia 100
 
Mbona Wanazi mnaleta mihemko Sana humu.... Al-Jazeera anasema ameshambulia vinu vya nyuklia nyie wamatumbi mnasema hajashambulia.......

Ndio kusema nyie wamatumbi mna taarifa kuliko Al-Jazeera....??
 
Inawezekana mimi na wewe hatuwezi kujua kwa kuwa ni mambo ya ndani ya watu Sisi yetu macho tuangalie matokeo
Vita ni ujinga tu hakuna mambo ya ndani wala nje watu wastaarabu wanatatua matatizo yao kwa kukaa mezani sio mabomu utaona moto wake huko..
 
Ni kweli pakistan na India wanayo nuclear lakini siyo mataifa ya kigaidi hayo..eala hayajawahi kutangaza kuifuta Israel kwenye uso wa dunia....
Palestine n taifa la kigaidi ndo mana hata wao wanakula dozi kutoka Israel 🔥
 
Nitambo ya ulinzi wa anga inakuwa aijawekwa kwenye command ya full sensitive kwa sababu mitambo ikiwekwa kwenye full sensitive inakuwa hatari hata kwa vifaa vyenu vyenye kuruka angani kama ndege nk
 
Ni kweli pakistan na India wanayo nuclear lakini siyo mataifa ya kigaidi hayo..eala hayajawahi kutangaza kuifuta Israel kwenye uso wa dunia....
Kwani Israel si majangili tu yaliteka ardhi ya Wapalestina kwa msaada wa mabwana zake USA na Ulaya kwa maslahi ya wazungu.

Iran ataifuta kweli Israel sio kwamba anatania anajua anachokisema ndiyo maana aliiporomoshea mvua ya makombora Israel mara mbili bila kupingwa.

Tena vyuma alivyorusha ni vya miaka ya 80 sasa akiamua kurusha hypersonic missiles si kale kanchi kanafutika ndani ya masaa machache tu.
 
Hivi hawa jamaa kwanini wanajiamini hivi? Yaani tuache tu mihemko tukae chini tuanze kujiuliza. Mtu tu anaamua kuja kukushambulia dah 🤔🤔
 
Vita ni ujinga tu hakuna mambo ya ndani wala nje watu wastaarabu wanatatua matatizo yao kwa kukaa mezani sio mabomu utaona moto wake huko..
Watu wanaokaa mezani na kutatua migogoro yao ni wale waliodhamiria amani kila mmoja na sio mmoja wao kadhamiria shari....

Huwezi kujadiliana kuhusu amani na adui aliyeshika kisu na wewe huna silaha yoyote......
 
Israel haiwezi fanya kitu kikubwa hivi bila kumshirikisha US. Na Iran kiuhalisia hana nguvu ya kupambana na US na Israel kwa wakati mmoja
 
Hii ngoma ilikuwa ya kustukiza kumbuka Iran bado ilikuwa kwenye mudi ya mazungumzo Israel katumia chansi hio ku attack
 
Yaani Israel anachokoza nyuki huku akijua kisasi kitakuwa kikali zaidi hadi kufikia kuwaamsha wananchi sake usiku usiku kuogopa kisasi kutoka Iran.
Hv kati ya Israel na nyie wengine huko, n nan Hua analialia watoto na wanawake wanauliwa?
 
Nitambo ya ulinzi wa anga inakuwa aijawekwa kunye command ya full sensitive kwa sababu mitambo ikiwekwa kwenye full sensitive inakuwa hatari hata kwa vifaa vyenu vyenye kuruka angani kama ndege nk
Duh!!
Tanzania tuna wataalamu wengi Sana.... hongera ndugu.....hii ni elimu adhimu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…