๐ ๐ ๐ Halafu kuna fal,a atakwambia Iran ni taifa la kawaida tu.Na shule zimefungwa...
Muda si mrefu tutashuhudia vimondo vikitua Tel Aviv..
Sasa mazungumzo ya kuwa chansi ya kushambulia ndo Umeandika nn mkuu ๐Hii ngoma ilikuwa ya kustukiza kumbuka Iran bado ilikuwa kwenye mudi ya mazungumzo Israel katumia chansi hio ku attack
Pole sana mkuu, na hapo ni bado ๐ISRAEL AMEFANYA KOSA AMBALO ATALIJUTIA MAISHA YAKE YOTE....KAMA ATAPATA BAHATI YA KUBAKIA KWENYE RAMANI YA DUNIA
Trump alikuwa anafanya maigizo makusudi kwamba anaionya Israel isifanye mashambulii, hii ilikuwa inaifanya Iran isichukue hatua za kiulinzi/kuzubaisha kwa kudhani hakuna kitakachotokea... halafu wakawashambulia ghafla, sidhani hata kama anga la Iran lilikuwa limefungwa..Israel imesema hii ni oparetion ya wiki mbili ila hii ni vita kamili
Na haya yote lazima marekani kahusika kwa asilimia 100
Idea ya kuwa kuna mahali pengine pazuri kuishi tofauti na hii dunia mahali ambapo hakuna njaa wala kufa wqkimaanisha mbinguni ilianzia israelHivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
Dunia ni uwanja wa fujo.Amani ikishatoweka kwenye nchi mambo ndio huwa kama hivyo kila mara ni kudundana tu.inawezekana wana sababu zakupigana vita mara kwa mara ila ukitazama vizuri utagundua chimbuko la hizo vita ni uko nyuma walipochezea amani yao kwahiyo sasa hivi kitu kidogo wao wanawaza kuua badala yakuzungumza kutafuta suluhu kwa njia ya amani. uku wananchi wao wakitanga tanga kwenye nchi za watu.Hivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
Nasikia wanataka kuremsha makombora 2000...๐ ๐ ๐ Halafu kuna fal,a atakwambia Iran ni taifa la kawaida tu.
Yaani Israel+ USA +Ulaya wanaiogopa Iran halafu mtu wa Masulumpweta huko anakwambia Iran sio lolote.
Haya Israel ameshatangaza shule kufungwa hata kabla Iran hajatangaza kulipa kisasi ndiyo ujue moto wa Muajemi๐
Kufadhili ugaidi dhidi ya IsraeliNi nini kimeiuzi Israel hadi kuishambulia Iran???
Kosa la Iran liko wapi??
Dah h kubwa sana ๐Ayatollah anasuburiwa huku
View attachment 3366429
Tangu juzi Trump alisema Israel inapanga kuishambulia Iran.Hii ngoma ilikuwa ya kustukiza kumbuka Iran bado ilikuwa kwenye mudi ya mazungumzo Israel katumia chansi hio ku attack
Serikali ya Iran ni sawa na Serikali ya CCM wao ni uchawaMwisho wa enzi wa Israel......
Marekani alimuonya asijaribu kufanya ujinga huu......
Israel inakwenda kufutwa kwenye uso wa Dunia
Taratibu wataongea tu.....BREAKING ๐ด๐ด๐ด
Iranโs top nuclear chief has admitted that the Natanz facilityโone of the regimeโs most vital nuclear sitesโhas been COMPLETELY destroyed.
Yaan hawapumziki kabisa kuua watu,sijui shida nini aiseeHivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
Iran bila hivyo vinu inakuwa kama Iraq na Syria wanaanza kumtia madole...Israel imesema hii ni oparetion ya wiki mbili ila hii ni vita kamili
Na haya yote lazima marekani kahusika kwa asilimia 100
Ujui mitambo ya ulinzi wa anga inavyo fanya kazi .....kumbuka iran kuna ndege za abiria na vyombo vingi vinaruka angani vya kwao hivyo mitambo ya ulinzi uwekwa kwenye low sensitive na manual attack ambayo inategemea command ya binadamu zaidi ...inapokuwa katika full sensitive ni lazima anga lako lifungwe na mitambo inakuwa kwenye high sensitive and automatic attack.Yn Iran amepigwa shambulizi la kushtukiza ๐ nae Israel akipigwa tutakuja kusema ameshtukizwa
Wabongo bhana kwahy leo h Palestine nae akipigwa n ameshtukizwa?
Acheni kujifariji bhana ๐
Hayo ni maigizo tu, hao wawili wanajua wanachokifanya.Mwisho wa enzi wa Israel......
Marekani alimuonya asijaribu kufanya ujinga huu......
Israel inakwenda kufutwa kwenye uso wa Dunia