Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Inabidi ukajitoe mhanga pale ubalozi wa USA ๐Ÿ”ฅ
 
Ingelikuwa ni Iran ndio imemchokoza na kwenda kumpiga Israel hapo ungesikia media zooooote zina laani vikali shambulio hilo. Na ungeona wanasema terrorist attack. Na leo leo UN SEcurity council ingeitwa kikao cha dharura kuona namna ya kumsaidia Israel na kutoa matamko makali.

Ila sasa vita kaanzisha Israel ni mchokozi kabisa wa wazi lakini hutasikia matamko wala nini.

IRAN NAMUAMINIA SANA; MAJIBU YAKE TUNAYASUBIRI KWA HAMU

Huyo SHETANYAHU anaenda kuimaliza rasmi Israel; hiyo Israel inaenda kufutwa kwenye uso wa dunia
 
Kikobaz kinajifariji na huku kimevaa kipedo na kusugua makalio. Israel imewatia dole gumba. Endeleeni kuinama
๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ
๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ
๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ
๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ
๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ
 
Duh!..
 
Khamenei katika hotuba iliyopita:

"Ikiwa Israel itafanya makosa (ya kutushambulia), tutaisawazisha Tel Aviv na Haifa chini" sasa Israel imeshambulia Iran hakuna lolote Iran atakalofanya gTurn RD07
 

Attachments

  • โšก๏ธKhamenei_in_a_previous_speech_%22If_Israel_makes_the_mistake_of.mp4
    2.4 MB
Mkuu kwani ule mfumo wenu wa ulinzi uko wapi?
 
Mtashindana lakini hamtashinda
 
Kikobaz kinajifariji na huku kimevaa kipedo na kusugua makalio. Israel imewatia dole gumba. Endeleeni kuinama
 
Sasa Marekani anasema ahusiki nani kamuulza atulie kama ahusiki mbona kawahamisha wanajeshi wake Iraq, Kiwait, Baharen. Asubiri bakora za Iran hawa siyo Gaza.
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†Nyie ni vilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ