Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Hamna vita hapo , Israel kasukuma kete Iran ajibu then wamalize ....Iran anamuogopa US kwa sababu jamaa wako tayari kuwafuta wote....Israe nchi ukitumia Atomic ikapita basi italeta madhara makubwa sana kwa raia wote.
 
Hamna vita hapo , Israel kasukuma kete Iran ajibu then wamalize ....Iran anamuogopa US kwa sababu jamaa wako tayari kuwafuta wote....Israe nchi ukitumia Atomic ikapita basi italeta madhara makubwa sana kwa raia wote.
πŸ˜‚πŸ€
 
Rekebisha kauli yako hapo juu Israel haijawalazimisha magaidi wa Hezbollah kuishambulia bali wao walianza kuishambulia Israel OCT 08,2023 kuwaunga mkono magaidi wenzao wa Hamas vilevile na Houth hakuna aliyewalazimisha kuishambulia Israe. Ni wao tu kwa mapenzi yao waliamua kujitoa ufahamu
 
Reactions: K11
Serikali ya Iran imeita kikao cha dharura, huenda vita kamili ikatangazwa na bei ya mafuta ikapanda maana Israel atahakikisha ile bandari haifanyi kazi
 
Naona mwisho wa dunia umekaribia tunapelekwa kwenye kyama cha dunia sasa,Namuona Yesu yulee anarudi kulichukua kanisa lake.
 
Hivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
Ukisoma Biblia kitabu cha Wafalme na Joshua utaona Israel haijawahi kukaa muda mrefu bila kuingia vitani. Ni asili yao
 
Israel haijawahi anzisha vita. Ilikuwa inawatamani sana ila sababu inajua inachukiwa na kutafutiwa visa basi huwa inawarubuni wajinga washambulie wajione wanaweza, kisha inakuja kujifanya inajilinda.

Kwani pagers zilizowalipukia Hezbollah zilipandikizwa wakati wameanza mashambulizi? Walizituma muda mrefu wakasubiri in case lolote litatokea wazitumie. Hiyo Iran waliitafuta muda ila namna ya kuanzisha walishindwa international community ingewaita wachokozi. Sasa wana visingizio na sababu, Iran anasaidia maadui wake.
 
πŸ‡―πŸ‡΄ / πŸ€ At the request of the Zionist entity, the Jordanian army announces the interception of several drones en route to the occupied Palestinian Territories.

πŸ”΄@haqqintel
 
Vita sio siku Moja elewa Hilo,Bado Kuna kazi ya kufanya kaka.. shambulio la kuvizia amehadaiwa na mazungumzo fake huku Nyuma ya pazia watu wanamlia timing thank God vinu viko salama na hamjui viko wapi hivyo mabomu watayafyatua tuu
Hakuna vinu vitakavyokuwa salama israel imesema mashambulizi haya yatachukua mpaka Wiki mbili mpaka wahakikishe vinu vya kinuclear vyote viko taabani.

Kina kipindi niliwaambia Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilishaharibiwa baada ya shambulio la Israel huko Iran na ndiyo maana The Promise-3 walishindwa kuitekeleza maana walijua nchi iko uchi wa mnyama.

Leo hii imedhibitika wazi ndege za Israel wamejipigia tu popote wanapotaka wala hakuna wa kuwazuia maana hawana Air Defence Systems.

Napenda tu kuwapongeza Iran kwa KAMDOMO hawajambo wanaweza kukutisha sana kumbe hakuna kitu.@RD07
 
Shambulizi la 6 Shiraz huko

Israel kachafukwa, akimaliza anarudi badilisha marubani na kureload, kisha anapaa tena hadi wiki 2 ziishe.
Iran hataisahau hii siku na Netanyahu atabaki kwenye historia ya dunia kama Mbabe aliye wamaliza magaidi Hamas, Hezbollah, Houthis na Ayatollah
 

Shambulio la kigaidi Hilo Kama la Ukraine TU, vita sio wiki mbili bro.
 
Huenda ripoti ya ile atomic agency kuwa Iran alipofikia kawa msiri sana huenda anatengeneza bomu.

Binafsi nimeshangazwa na video za Mossad ndani ya Iran wakitengeneza mazingira ya mashambulizi kwa kuharibu ADS na Launchers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…