Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Alichosema ni ukweli, uzuri amewaambia mapema kabla hawajachelewa
 
Huo sasa ni uchokozi!

Hakukuwa na sababu yoyote ya msingi ya kuishambulia Iran.
Sababu zipo, ukisikia jambazi anakusanya silaha ili siku moja akuvamie utafanyaje?
Unaweka plant za nyuklia hadharani vile halaf una mifumo dhaifu ya kiulinzi km
ni kweli iran hawana backup ,,basi Israel intelligensia yao iko vzur
Ndani kabisa ya idara nyeti na baadhi ya makamanda wa Iran ni mawakala wa MOSSAD ndio maana hata mashambulizi yao ni yenye matokeo sahihi sana. Kila wanaposhambulia ni kwa usahihi sana
 
Alichosema ni ukweli, uzuri amewaambia mapema kabla hawajachelewa
Iran hawawezi kukubali dili ya US ya kitapeli, wajiandae mafuta hayatashikika route za baharini zitafungwa ni suala LA muda
 
Echolima1 tulishawaambia kobaaz hapa kuwa Iran atapokea mkong'oto wa mbwa mwizi Kobaaz wakabisha sana. kiko wapi sasa! hakuna taifa duniani litakaloweza kuimaliza Israel kamwe halipo na bado huyu mpuuzi russia naye atajaa kwenye mfumo gogu wa magogu shetani ibilisi
 
Endeleeni kuwasifia hao wavaa kobazi air defense system zao zinapelekewa moto sijui watajilinda vii na mashambulizi yajayo
 
Yes wanapiga now inasemekana kwa sasa wanapiga nchi yote kila military base.
Netanyahu keshasema zoezi litachukua wiki 2 na ni endelevu.
Hadi sasa Iran kafanikiwa rusha drone 100 pekee
Mbona patamu sana aese. Hawa wavaa Kobazi na Allah wao watajuta maana uwezo hawana,maarifa hawana na kwa bahati mbaya ni Wanafiki wakubwa.
 

Kuna wa-Israel wengi sana ndani ya nchi ya Iran, lakini kuna wa-Iran wachache Sana ndani ya Israel.

Aidha, pia kuna Wapiganaji wengi sana wa Israel ndani ya Majeshi ya Iran, lakini hakuna Wapiganaji wa Iran ndani ya Majeshi ya Israel.

Kwa hiyo, Iran itawawia vigumu Sana kupata ushindi katika Vita hii. Israel tayari ina mtaji mkubwa sana wa kushinda Vita kwa sababu ina Mamluki wake wengi sana ndani ya Majeshi ya nchi ya Iran. Vile vile, ndani ya nchi hiyo ya Iran tayari kuna mpasuko, migawanyiko na mifarakano mingi Sana ya kijamii kati ya Watawala wa Nchi hiyo ya Iran na Wananchi wao. Ndani ya Iran hakuna Utangamano wa kijamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…